Marekani yatuma drone nyingine

Pentagon wamesema drone yao ilikuwa inaruka kwenye anga la kimataifa, Urusi wanafanya uchokozi wa kipumbavu na reckless kushambulia chombo chao.
 
shoigu angejua mission ya hiyo ndege asingewapa nishani!
Watafanya kosa lingine kuitoa hiyo ndege baharini ili kuichunguza kumbe inawachunguza kwa uka ukaribu!
Ujanja sio kuwahi bali ni KUPATA!
Hiyo trick walitumia urusi miaka ya 50 kutumia sarafu,ni bahati mbaya Moja ilidondoshwa na mkusanyaji ikafumuka,ndipo marekani akatoa jicho kuichunguza
 
Ni aibu kwa taifa kubwa kama Urusi kuongozwa na muhalifu anayetafutwa na ICC.
Maneno ya kike kike au ndio ushoga ? Sasa haibu ya nini yani mimi nafanya shughuli zangu za maendeleo napata maendeleo halafu jirani anitangaze mi maizi useme haibu eti sababu jirani kasema mi mwizi , minaendelea na kazi yangu tu maneno ya jirani yasiyokua namaa hayaniathir chochote mi napiga hatua ye atabaki na kulala na njaa mwisho wa cku hiyo haibu inatoka wapi sasa
 
Mwenye nguvu apishwe tu lazima tukubaliane na msemo huu., US ni mbabe aliyekubuhu mbona china baada ya kutumbuliwa kale kaputo chake hakusema natuma puto jengine kaufyta?

Urusi atulie asijaribu kuingizwa kingi ataumizwa sana, maamae
 
Mrusi anamuona mmarekani mchumba tu,,, Huyo anaogopwa na wengine ila sio hao wazungu wenzake
 
Russia sio Zimbabwe..... Dude atapelelewa mu iran hilo
Icc inamsubiri¡![emoji122][emoji122][emoji123][emoji106]
Kama kidume ande akahudhurie kikao cha UN kama aone watavyomgombea kama pila la kona
 
Icc inamsubiri¡![emoji122][emoji122][emoji123][emoji106]
Kama kidume ande akahudhurie kikao cha UN kama aone watavyomgombea kama pila la kona
Wamemshindwa Bashir wasudan wamuweze Putin kwanza mara ya mwisho Putin kwenda UN lini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…