Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,763
Russia ianze kutungua hivyo vindege vya US vinavyotumika kuwapa waasi silaha.
Russia ianze kutungua hivyo vindege vya US vinavyotumika kuwapa waasi silaha.
Urusi watungue ndege za Marekani hawajipendi?
How I wish they could do that so they get their behinds hickory smoked by the good 'ol USA.
Siwapendi ila sina namna, kwa hisani ya watu wa Marekani.!Marekani ndo wanaovuruga amani ya dunia.
Punguza ushabiki.
Russia ianze kutungua hivyo vindege vya US vinavyotumika kuwapa waasi silaha.
Angalau sasa tutaona Balance na wakitaka wapeleke wanjeshi
Marekani ndo wanaovuruga amani ya dunia.