Marekani yataka kichapo dhidi ya FDLR kianze mara moja

Aliyetoa ushauri sio kamanda wa majeshi yaliyoko Kongo hajui kilichoko ardhini.Anachojua ni kuitisha press conference tu.
Hao ukiwapiga unakuwa umetatua tatizo? Hao wanatakiwa kurudi Rwanda kwao.Je mazingira ya wao kurudi Rwanda yameshaandaliwa na Serikali yA rwanda? Ya kisiasa na kijamii?

Kundi la FDRL liko tayari kugeuka kuweka silaha chini na kuwa chama cha siasa kisichotumia mtutu wa bunduki.Na wako tayari kwa mazungumzo na serikali ya Rwanda lakini serikali ya Rwanda haitaki.Kuwaua tu Kongo kwa makombora unakuwa umefanya nini cha maana zaidi ya kujaza ardhi ya kongo na makaburi ya watu wasio wakongo.

Tatizo la FDRL lilipofikia linataka political solution sio mtutu wa bunduki.Na ieleweke si FDLR wote ni genociders kama anavyodai Kagame.Toka GENOCIDE Itokee ni miaka zaidi ya ishirini kuna kizazi cha vijana wengi waliozaliwa ambao sasa wana mika ishirini ambao hata hawajui Genocide ni nini sababu hawakuhusika.Wangependa kurudi kwao Rwanda.Sasa Huyu balozi kusema washambuliwe tu hao vijana washambuliwe kwa lipi? Wana silaha hadi sasa kujilinda ili Rwanda isije vamia kule waliko sababu political solution yao Rwanda HAIJAPATIKANA.

Hata uwapige kongo watabaki bado na tatizo lile lile lini watarudi Rwanda? Watarudije na kwenye mazingira yepi ya kisiasa na kijamii.

Jumuiya ya kimataifa inabidi iishinikize Rwanda izungumze na FDRL watafute political solution ya tatizo lao.Wa kushinikiza meza ya mazungumzo ni Kagame.Kuendelea kukataa mazungumzo ni kulikuza tatizo

Amakweli mkuki ni kwa nguruwe!! yani mmesahau wakati M23 inaomba mazungumzo nyie mnasema wapigwe,sasa hao shemeji zenu FDLR eti wasipigwe??? we subiri uone kichapo.
 
Mkuu pusha la Magogoni, hakuna coalition of the willing bila Rwanda. hawa jamaa watatu, waliunda coalition hiyo kama njia ya kuihujumu TZ, baada ya TZ kutokukubaliana na baadhi ya issues ambazo zilikuwa hazina tija kwa Tz, ambazo wao (Kenya, Uganda and Rwanda) ni dili sana. for example, Tz iligomea single tourist visa na issues kama ardhi kuwa sehemu ya jumuia (EAC), etc. thus, in retaliation jamaa wakaamua waanzishe COW.

Pili, Inabidi uelewe kuwa rwanda, ina maslahi makubwa endapo FDLR watapigwa. kumbuka hawa ja maa, FDLR wanatuhumiwa kwa genocide ya 1994, ila kwa mtazamo wangu, wote FDLR na RPF walishiriki genocide. kwa maana nyingine, FDLR wanataka mazungumzo na serikali ya Rwanda ili waweke silaha chini na kuwa chama cha kisiasa. ili warudi nyumbani kwao kama wanyarwanda. PK hataki hata kulisikia hilo. kwa hiyo FDLR wakipewa kichapo, PK atafarijika kwani anasema wanamnyima usingizi. Cha kushangaza sasa ni kwamba FDLR wanatumia njia ambayo RPF waliitumia ya kutaka mazungumzo ambayo yataleta maridhiano na kuundwa kwa serikali ya kitaifa (coalition government) miaka ile ya 1988.

Tatu, majeshi ya COW yakiishambulia FDLR, Rwanda has nothing to lose, except the innocent soul of young children and woman who in no circumstance were the actor of the genocide. kwani ni miaka ishirini sasa tangia genocide itokee. kuna waliozaliwa na kuwa member wa FDLR ambao hata hiyo genocide wanaisikia kwenye vyombo vya habari tu.

tulieni FDLR wale kichapo na asijidanganye mtu yeyote kuingilia kati kwani nayeye ata kula kichapo.
 
Amakweli mkuki ni kwa nguruwe!! yani mmesahau wakati M23 inaomba mazungumzo nyie mnasema wapigwe,sasa hao shemeji zenu FDLR eti wasipigwe??? we subiri uone kichapo.

Kichapo wapi mbona mko kimya? chezea SADC wewe? Nyie watibueni waje mpaka kigali......LOL
 
Amakweli mkuki ni kwa nguruwe!! yani mmesahau wakati M23 inaomba mazungumzo nyie mnasema wapigwe,sasa hao shemeji zenu FDLR eti wasipigwe??? we subiri uone kichapo.

M23 walikuwa hawataki mazungumzo.Sana sana walichofanya ni kuandika barua kali ya kutishia nyau Tanzania kuwa ikienda kule kongo itakiona cha mtema kuni.Na nyie waunga mkono M23 humu jamii forums mkaandika kuwa JWTZ wajiandae kukiona mkatukana sana JWTZ.Lakini Baada ya kipigo cha M23 mkapotea kimya mnaibuka saa hii mlipoona suala la FDLR linaibuka.Issue ya M23 ni tofauti na FDLR

M23 Walitaka mazungumzo baada ya kutandikwa barabara awamu ya kwanza.Na walipopewa muda wakaanza kuji-group na kuanza vita tena hapo ndipo kipigo cha mbwa mwizi kilipoanza nonstop.FDLR walionyesha msimamo na ushirikiano toka mwanzo kuwa wana nia ya dhati ya mazungumzo na bado hadi sasa nia hiyo wanayo.

Na ndio maana ilikuwa busara kuanza na M23 kwanza ambao walikuwa hawataki mazungumzo na baadaye kumalizia na kundi linalotaka mazungumzo la FDLR ambao toka mwanzo walikuwa wakitaka mazungumzo na Rwanda lakini Rwanda IKAWA INAKATAA ila ikawa inatuma vikosi vya waasi kwenda kuwapiga kongo.
FDRL ni watiifu kwa majeshi ya UN tofauti na wale wahuni wa M23.
 
Aliyetoa ushauri sio kamanda wa majeshi yaliyoko Kongo hajui kilichoko ardhini.Anachojua ni kuitisha press conference tu.
Hao ukiwapiga unakuwa umetatua tatizo? Hao wanatakiwa kurudi Rwanda kwao.Je mazingira ya wao kurudi Rwanda yameshaandaliwa na Serikali yA rwanda? Ya kisiasa na kijamii?

Kundi la FDRL liko tayari kugeuka kuweka silaha chini na kuwa chama cha siasa kisichotumia mtutu wa bunduki.Na wako tayari kwa mazungumzo na serikali ya Rwanda lakini serikali ya Rwanda haitaki.Kuwaua tu Kongo kwa makombora unakuwa umefanya nini cha maana zaidi ya kujaza ardhi ya kongo na makaburi ya watu wasio wakongo.

Tatizo la FDRL lilipofikia linataka political solution sio mtutu wa bunduki.Na ieleweke si FDLR wote ni genociders kama anavyodai Kagame.Toka GENOCIDE Itokee ni miaka zaidi ya ishirini kuna kizazi cha vijana wengi waliozaliwa ambao sasa wana mika ishirini ambao hata hawajui Genocide ni nini sababu hawakuhusika.Wangependa kurudi kwao Rwanda.Sasa Huyu balozi kusema washambuliwe tu hao vijana washambuliwe kwa lipi? Wana silaha hadi sasa kujilinda ili Rwanda isije vamia kule waliko sababu political solution yao Rwanda HAIJAPATIKANA.

Hata uwapige kongo watabaki bado na tatizo lile lile lini watarudi Rwanda? Watarudije na kwenye mazingira yepi ya kisiasa na kijamii.

Jumuiya ya kimataifa inabidi iishinikize Rwanda izungumze na FDRL watafute political solution ya tatizo lao.Wa kushinikiza meza ya mazungumzo ni Kagame.Kuendelea kukataa mazungumzo ni kulikuza tatizo
Wewe unalifahamu vema tatizo la DR Congo na Rwanda. Sio watu kama Jenerali Ulimwengu, ambao wanaongea kwa kushabikia tu. Jumuiya ya kimataifa inafanya kosa la pili la kukubali kuwabrand FDLR kwa kutegemea mtazamo alionao kagame. Kosa la kwanza ni kuruhusu mauaji ya halaiki ya watutsi yatokee na bahati mbaya Kagame ameweza kutumia udhaifu huo kujustify uwepo wake madarakani, lakini kosa linalotaka kufanyika ni sasa kufumbia macho madhila yanayowakumba wahutu waliokimbilia Congo. Halafu Marekani ambayo kimsingi ndiyo iliyomtengeneza Kagame inataka TZ ndiyo ibebe ajenda chafu ya kuwauwa watu ambao wanalilia haki yao halafu tuje tulaaniwe miaka nenda rudi kwa kushiriki kukandamiza sauti zinazodai haki. Hoja ya kagame kwamba FDLR isambaratishwe kabisa halafu jamaa warudi Rwanda kama wakimbizi wengine bado haina mashiko maana FDLR iliundwa ili kukabiliana na majeshi ya RPF yaliyokuwa yameingia Congo kuwatafuta wanaoitwa Interahamwe lakini ktk zoezi hilo waliuwa wahutu wengi wasio na hatia hivyo wanajeshi wa lilikuwa jeshi la serikali pamoja na baadhi ya interahamwe wakaunda FDLR ili kujihami na mauwaji sasa haiwezekani sasa hivi waambiwe wakubali kusambaratika bila guarantee yoyote ya usalama. Hawa US na UK ndio waliomuweka mjini Kagame sasa kama wanaamua kutumia military solution ktk hali kama hiyo basi wanakaribishwa ili pia historia iwahukumu wao lakini sio waamue wao halafu historia ituhukumu sie.
 
Exactly mkuu,Labda nitake tu kujua,ni kwanini Marekani haimchukulii PK kama dictactor,hasa ukizingatia wapinzani wake kisiasa wamewekwa kizuiznii na hata wengine kushambuliwa na hata kuuwawa wakiwa uhamishoni?
Hauoni kama kuishambulia FDLR kwa baraka za marekani ni sawa na kubariki udictactor unaofanywa na PK?
Naomba mtazamo wako mkuu Prof

US kutomchukulia PK kama dictator inaenda sambamba na aina ya serikali iliyoko madarakani, whether it is republican or Democrats. kwa mtazamo wangu, kila chama kinachounda serikali kina mlengo wake, especially kwenye US foreign policy.(mfano mzuri ni UNITA ya marehemu Savimbi na serikali ya Angola. Kipindi hicho serikali ikiwa Democrats, walikataa kuitambua serikali ya Dos Santos na wakatoa ushirikiano mzuri kwa mwasi Savimbi. Lakini Republican walivyoingia tu madarakani, wakaitambua serikali na kumpiga wanted Savimbi. Kumbuka kuwa kwenye mtizamo wa sera za nje, Republican wazee wa ngumi jiwe na Democrat wanatofautiana. kwa hiyo PK ameweza ku-trade vizuri through genocide na amegeuza genocide kama kichaka cha kujikinga madhambi yake.

The point here is, US bado ana maslahi na Rwanda na it is all about resources in DRC, siku maslahi hayo yakiisha, utaona kitakachotokea...
 
Mkuu pusha la Magogoni, hakuna coalition of the willing bila Rwanda. hawa jamaa watatu, waliunda coalition hiyo kama njia ya kuihujumu TZ, baada ya TZ kutokukubaliana na baadhi ya issues ambazo zilikuwa hazina tija kwa Tz, ambazo wao (Kenya, Uganda and Rwanda) ni dili sana. for example, Tz iligomea single tourist visa na issues kama ardhi kuwa sehemu ya jumuia (EAC), etc. thus, in retaliation jamaa wakaamua waanzishe COW.

Pili, Inabidi uelewe kuwa rwanda, ina maslahi makubwa endapo FDLR watapigwa. kumbuka hawa ja maa, FDLR wanatuhumiwa kwa genocide ya 1994, ila kwa mtazamo wangu, wote FDLR na RPF walishiriki genocide. kwa maana nyingine, FDLR wanataka mazungumzo na serikali ya Rwanda ili waweke silaha chini na kuwa chama cha kisiasa. ili warudi nyumbani kwao kama wanyarwanda. PK hataki hata kulisikia hilo. kwa hiyo FDLR wakipewa kichapo, PK atafarijika kwani anasema wanamnyima usingizi. Cha kushangaza sasa ni kwamba FDLR wanatumia njia ambayo RPF waliitumia ya kutaka mazungumzo ambayo yataleta maridhiano na kuundwa kwa serikali ya kitaifa (coalition government) miaka ile ya 1988.

Tatu, majeshi ya COW yakiishambulia FDLR, Rwanda has nothing to lose, except the innocent soul of young children and woman who in no circumstance were the actor of the genocide. kwani ni miaka ishirini sasa tangia genocide itokee. kuna waliozaliwa na kuwa member wa FDLR ambao hata hiyo genocide wanaisikia kwenye vyombo vya habari tu.

This is beyond ridiculous.
 
US kutomchukulia PK kama dictator inaenda sambamba na aina ya serikali iliyoko madarakani, whether it is republican or Democrats. kwa mtazamo wangu, kila chama kinachounda serikali kina mlengo wake, especially kwenye US foreign policy.(mfano mzuri ni UNITA ya marehemu Savimbi na serikali ya Angola. Kipindi hicho serikali ikiwa Democrats, walikataa kuitambua serikali ya Dos Santos na wakatoa ushirikiano mzuri kwa mwasi Savimbi. Lakini Republican walivyoingia tu madarakani, wakaitambua serikali na kumpiga wanted Savimbi. Kumbuka kuwa kwenye mtizamo wa sera za nje, Republican wazee wa ngumi jiwe na Democrat wanatofautiana. kwa hiyo PK ameweza ku-trade vizuri through genocide na amegeuza genocide kama kichaka cha kujikinga madhambi yake.

The point here is, US bado ana maslahi na Rwanda na it is all about resources in DRC, siku maslahi hayo yakiisha, utaona kitakachotokea...

very right, ilikuwa ni utawala wa Bill clinton ambao uliweka kapuni memo toka CIA ambayo ilieleza kuwa RPF walikuwa wanaua raia kwa maelfu in 1994. Leo hii yuko Obama ambaye pia ni democrat.....
 
Rwanda ina dili kubwa na Marekani. Ilikuwa makosa kuikubali serikali kibaraka kama hiyo katika EAC. Inanikumbusha Enzi za Saddam na nia yake ya kuwa polisi wa Persian Gulf kwa kutumia urafiki wake na Marekani. Rwanda ni kama hivyo.
Ubaya wa siasa ya nje ya Marekan ni kuwa ukiwa rafiki yake basi you can get away with murder.
 
This is beyond ridiculous.

hahah..."beyond ridiculous"?... it doesn't matter. what matters is PK will soon or later be out of power. that you and your people will someday be a refugee again and finally, FDLR will again be in power. Time will tell
 
Prof,

..FDLR walishapigwa miaka ya 90 wakati wa kumtoa Mobutu madarakani.

..halafu kukawa na operation kimia 1, 2, na operation umoja wetu[joint operation ya rwanda na drc].
..hatua za kijeshi zimeshajaribiwa dhidi ya kundi hili, na zimefeli.

cc Kibona, East African Eagle, jMali, JustDoItNow

uko sahihi mkuu, operation zote za kijeshi against FDLR zimefeli. hawa jamaa(FDLR) wamekaa Eastern Congo kwa miaka 20 sasa na wanaijua DRC vizuri. kwa upande wa nani anaenda kutoa kichapo, hapo ndipo mtinange ulipo. kama ni COW ndo wataenda huko, watu wasubirie aibu....Kitanuka ile mbaya. Hata hivyo, solution ya kijeshi sio sahihi. PK akae na FDLR na wazungumze ili kuleta amani ya kudumu. hata mzee wetu (JK) alishauri hivyo. Tatizo la Rwanda na rais wao ni Jeuri na hawataki kushauriwa...
 
..FDLR wanaweza kumalizwa kijeshi ila tatizo ni COLLATERAL DAMAGE inayoweza kutokea.

..hizo operation zote nilizokutajia zilisababisha mauaji, vilema, maumivu, usumbufu, na malalamiko makubwa kwa wananchi wa DRC.
 
Hao vijana hata leo wanarudi na hawana tatizo hapa ni maamuzi ya UN na kama partners na makubaliano ni budi yatekelezwe .
Huo usaanii wa 150 kati ya 4000 plus haukubaliki Zuma raisi mzima unazunguka dunia na kwenye reagion kutetea maslahi duni ya wakimbizi wachache huko SA yatakwisha tena kwa aibu.
 
Wewe unalifahamu vema tatizo la DR Congo na Rwanda. Sio watu kama Jenerali Ulimwengu, ambao wanaongea kwa kushabikia tu. Jumuiya ya kimataifa inafanya kosa la pili la kukubali kuwabrand FDLR kwa kutegemea mtazamo alionao kagame. Kosa la kwanza ni kuruhusu mauaji ya halaiki ya watutsi yatokee na bahati mbaya Kagame ameweza kutumia udhaifu huo kujustify uwepo wake madarakani, lakini kosa linalotaka kufanyika ni sasa kufumbia macho madhila yanayowakumba wahutu waliokimbilia Congo. Halafu Marekani ambayo kimsingi ndiyo iliyomtengeneza Kagame inataka TZ ndiyo ibebe ajenda chafu ya kuwauwa watu ambao wanalilia haki yao halafu tuje tulaaniwe miaka nenda rudi kwa kushiriki kukandamiza sauti zinazodai haki. Hoja ya kagame kwamba FDLR isambaratishwe kabisa halafu jamaa warudi Rwanda kama wakimbizi wengine bado haina mashiko maana FDLR iliundwa ili kukabiliana na majeshi ya RPF yaliyokuwa yameingia Congo kuwatafuta wanaoitwa Interahamwe lakini ktk zoezi hilo waliuwa wahutu wengi wasio na hatia hivyo wanajeshi wa lilikuwa jeshi la serikali pamoja na baadhi ya interahamwe wakaunda FDLR ili kujihami na mauwaji sasa haiwezekani sasa hivi waambiwe wakubali kusambaratika bila guarantee yoyote ya usalama. Hawa US na UK ndio waliomuweka mjini Kagame sasa kama wanaamua kutumia military solution ktk hali kama hiyo basi wanakaribishwa ili pia historia iwahukumu wao lakini sio waamue wao halafu historia ituhukumu sie.
Wee bado upo na maujinga yako kutetea FDLR...umeishiwa mpuuzi tuu wewe na hao ndugu zako mwisho wao umefika.
 
hahah..."beyond ridiculous"?... it doesn't matter. what matters is PK will soon or later be out of power. that you and your people will someday be a refugee again and finally, FDLR will again be in power. Time will tell

sikujua kumbe hata akili huna.
 
sikujua kumbe hata akili huna.

kuwa na akili au nisiwe nazo is too subjective...you know sometimes, stupid questions/ comments attracts stupid answers...anyway, heri ya mwaka mpya Mkuu
 
Back
Top Bottom