myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mambo ya Tanzania watuachie Watanzania wenyewe
he! ndie baba wa dunia huyo. hata mkuu wetu anawaita wakumbwa hao. wakisema lazima wapewe uzito
Mambo ya Tanzania watuachie Watanzania wenyewe
Mkuu ni kweli upo sahihi mi ndo nimekosea yote hii hasira tu ya kuona watu wanajibu upuuzi japo wanaelewa kabisa wanachosema ni upuuzi kabisaNadhani hujamuelewa huyu jamaa. Hii ilikuwa ni reply kwa mpuuzi aliyetaka watuachie Tanzania yetu wenyewe huku akujisahaulisha bakuli tunalotembeza huko mbele
Duh.... wewe gamba unaota?Kweli kabisa mkuu kitu cha kwanza ni kuomba serikali yetu tukufu chini ya mh JPM kukataa kabisa misaada yao na hata wakitubembeleza tugome kabisa ikiwezekana tususie ziara zote za Amerika hadi wakome
Duh.... wewe gamba unaota?
Hivi TZ yaweza kusurvive bila misaada ya nchi za Marekani na Ulaya?
Kumbuka tamko la nchi ya Marekani tafsiri yake ni kuwa hilo pia ni tamko la World Bank, pia ni tamko la IMF, pia ni tamko la nchi za Ulaya.
Watawala wetu wakijifanya kiburi na kujifanya ngangari ya kutokubaliana na maelekezo hayo ya Marekani sidhani kama nchi hii itawachukua hata miezi miwili kabla hawajacollapse kabisa.
Mi ndo maana nawapenda sana US, sio wanafik hata kidogo huwa wako straight na hii imesababisha kuchukiwa na watu wengi. Ukitaka kuchukiwa bas we usiwe mnafiki