Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,244
- 15,062
Unacheka kipumbavu lakini. Kukosa japo uelewa mdogo achana na elimu ni janga kubwa.Mkitaka kujua anaye pigana vita hi kati ya Israel na Hamas, pamoja na Hezbullah ni US. Leo US eti anaipiga sunction Hezbullah, nimecheka kweli kweli, toka lini Hezbullah ana biashara na US. Wacha US hata UN aipige Hezbullah sunction kipigo kinaendelea huko Israel.
US kisha changan'yikiwa kipigo anacho tembezewa Israel na Hezbullah
Mbona hatuoni huko Russia wakifanya kwa sili, maana hata orban kawachana hao west kwa unafiki wao kwa kumuwekea vikwazo urusi halafu hapohapo nchi zao zikifanya biashara na Urusi kuliko hata kabla ya vita na Ukrain?.Ukiwekewa vikwazo na Marekani, maana yake washirika wako inabidi wafanye biashara na wewe kwa siri, otherwise nao watawekewa vikwazo.
Sasa unawekeaje vikwazo kikundi ambacho umeshakiita Cha kigaidi Tangu miaka kibao iliyopita?.Unacheka kipumbavu lakini. Kukosa japo uelewa mdogo achana na elimu ni janga kubwa.
Swali toka lini Hezbullah walikuwa na bussiness na US, swali la pili ukisha muita mtu gaidi afu umuingize kwenye sunction ina mana wewe ndio baba wa magaidi πUkiwekewa vikwazo na Marekani, maana yake washirika wako inabidi wafanye biashara na wewe kwa siri, otherwise nao watawekewa vikwazo.
Pole sana ndio mana mwenye ukosefu wa akili atadhani vile wenye akili tumeisha ona US kachangan'yikiwa πUnacheka kipumbavu lakini. Kukosa japo uelewa mdogo achana na elimu ni janga kubwa.
Maneno yako ni π―Mbona hatuoni huko Russia wakifanya kwa sili, maana hata orban kawachana hao west kwa unafiki wao kwa kumuwekea vikwazo urusi halafu hapohapo nchi zao zikifanya biashara na Urusi kuliko hata kabla ya vita na Ukrain?.
Washirika wa Hizbollah wote wana vikwazo vya USA.Ukiwekewa vikwazo na Marekani, maana yake washirika wako inabidi wafanye biashara na wewe kwa siri, otherwise nao watawekewa vikwazo.
Uliza benk za china kama zinatoa mkopo kwa RussiaMbona hatuoni huko Russia wakifanya kwa sili, maana hata orban kawachana hao west kwa unafiki wao kwa kumuwekea vikwazo urusi halafu hapohapo nchi zao zikifanya biashara na Urusi kuliko hata kabla ya vita na Ukrain?.
Nani kakuambia hawatoi pili wakitoa lazima wawambie tumempa Mrusi mkopo. Germany wanafanya biashara na mrusi iwe China. Si wana deal kwa njia ya pili sio direct.Uliza benk za china kama zinatoa mkopo kwa Russia
Urusi kawekewa vikwazo lakini anafanya biashara za wazi na mataifa mengi, Iran kawekewa vikwazo anafanya biashara na mataifa mengi tu, Marekani kabakia maneo mataifa mengi sasa hivi yanaondoa dola kwenye biashara zao za ndani.Ukiwekewa vikwazo na Marekani, maana yake washirika wako inabidi wafanye biashara na wewe kwa siri, otherwise nao watawekewa vikwazo.
Kwa namna hiyo hiyo lazima maumivu yawepoNani kakuambia hawatoi pili wakitoa lazima wawambie tumempa Mrusi mkopo. Germany wanafanya biashara na mrusi iwe China. Si wana deal kwa njia ya pili sio direct.
Cha ajabu pia US anafanya biashara na Mrusi eti kamwekea sunction πUrusi kawekewa vikwazo lakini anafanya biashara za wazi na mataifa mengi, Iran kawekewa vikwazo anafanya biashara na mataifa mengi tu, Marekani kabakia maneo mataifa mengi sasa hivi yanaondoa dola kwenye biashara zao za ndani.
US, Germany, Italy, China, India, Japan wote hawa wana fanya biashara direct na Mrusi sa we huoni kama sunction ni bollywood film.Kwa namna hiyo hiyo lazima maumivu yawepo
Biadhara yoyote isiyo wazi inamaumivu kwa mtumiaji boss
AahaaaaSasa unawekeaje vikwazo kikundi ambacho umeshakiita Cha kigaidi Tangu miaka kibao iliyopita?.