Patrick Elias
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 332
- 108
wazungu wameshapitwa na mataifa mengi Kiuchumi kama japan, india, China, aliyejuu yao ni US peke yake. Ni wazi kuwa Ile tabia ya rais wa ImF kutokea Ulaya na wa Benki ya Dunia kutokea marekani peke yake hauna tena mashiko. Sasa hawa jamaa wanaonyesha hawana mpango wa kugombania nafasi za madaraka katikabenki zaWB na IMF, bali wanaunda mfumo wao, ili ushindane na ule wa western countries.Taifa la watu wweusi la South Africa limejiingiza huko likiwa limetoa vipesa vichache. Kusapoti.China ndiyo imetoa fungu kubwa.Nashukuru kwa wazo la BRICS Kuanzisha benk yao.
RIP world bank na Ifm na ubepari wenu.
benki inayoelekea kuanzishwa na mataifa ya BRICS sio benki yao kimsingi,ila ni benki shindani ya WB na IMF.benki hii lengo lake kubwa ni kutoa mikopo ya maendeleo kwa nchi zinazoendela,na kufadhiri miradi ya nchi zinazoendelea zilizopo mahali popote duniani hata kama Ulaya.moja ya sera za benki hii ni mikopo nafuu naisiyokuwa na masharti tofauti na WB na IMF.benki hii itazifaa zaidi nchi za third world ambazo huwa zinateswa sana na masharti ya WB na IMF.Uzuri wa benki hii imeanzishwa na nchi zenye uwezo wa kifedha.hata hivyo nia yao haitofautiani sana na benki nyingine zilizoanzishwa kwa malengo kama hayo ya kusaidiana dhidi ya masharti ya mabeberu.benki nyingine kama hii ya BRICS NA WB ni ADB,YAANI africa Development Bank,lakini hii ni kwa waafrika tu.Development Bank ya BRICS NI kwa dunia nzima. hii ndio faida ya soko huria.hata hivyo hii itaenda kuangusha matumizi ya USD.
jina ndio limebadilika tu lakini nia OVU ipo pale pale, waafrika tukumbuke kuwa hakuna mweupe anayetutakia mema hata akija kwa njia ipi, wote wapo kwa ajili ya faida, kikubwa ni kukuza mtaji wetu kwa kushirikiana na kuungana tukimaanisha otherwise tutaendelea kuwa victims wa mapambano ya mapato kwa wenzetu weupe
This is good/ so hii BRICS inataanza take effect lini?
Hakuna lolote,wangekuja na original idea yao sio kuiga IMF/WB za west,uchumi wa nchi za BRICS still unategemea west,lakini not bad idea waafrica tumeongezewa sehemu za kukopa tuendelee kuongeza madeni