eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,355
- 16,408
USA imeitaka china kutumia ushawishi wake kwa korea kaskazini kuitaka nchi hiyo kurudi katika meza ya majadiliano kuhusu mpango wao wa silaha za nyuklia
Marekani inaamini china ina uwezo wa kuirudisha korea kaskazini katika meza ya majadiliano
Hii ni baada ya korea kaskazini kurusha kombora katika anga ya Japani huku baraza la umoja wa mataifa likiitaka nchi hiyo kuheshimu wito unaotolewa wa kuacha kurusha makombora yake