Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,883
- 287,942
Serikali ya Marekani imeishauri CCM kukaa mezani na chama cha CUF ili kumaliza mzozo wa Kisiasa uliotokana na UCHAGUZI MKUU WA OCTOBER 25 , 2015 .
Hayo yamesemwa na GREGORY SIMPKIMS , ofisa wa Masuala ya sera za kijamii na kisiasa katika ukanda wa nchi za kiafrica zilizo kusini mwa jangwa la sahara , alipoongoza ujumbe wa watu watatu kukutana na Naibu katibu mkuu wa ccm , Abdalla Juma ofisini kwake Kisiwandui .
Chanzo - Mwananchi .
Mytake - Hili suala la Dhuluma ya uchaguzi wa Zanzibar si la kitoto kama tunavyodanganywa .
Chanzo ni gazeti la Mwananchi .We huwa naonaga unaletaga vitu vya kinafiki sana na huwa havitokei.
Ile ya Mahakama ya ICJ-Uholanzi iliishia wapi?
Pole kwa kujidanganya na maneno yako ya mitandaoni.
Chanzo ni gazeti la Mwananchi .
Natumia Tecno ya tochi mkuu , hata hivyo usipende sana kutafuniwa kila kitu , ni hatari .Weka link hapa.
Seifu ndio rais wa ZanzibarMgogoro ushaisha mahangaiko ya Seif tu ndo yanafanya watu wengine wadhani bado upo
Natumia Tecno ya tochi mkuu , hata hivyo usipende sana kutafuniwa kila kitu , ni hatari .
It is very true, hiyo habari imetoka kwenye gazeti la hard news la Mwananchi.Mini niko mtandaoni kwa PC yangu sijaona hicho unasema. Nina kawaida ya kutafuna sana binafsi.
Kama upo kwa PC yako nenda basi hata kwenye milard ayo magazeti ya leo tarehe 14, utaikuta hiyo habari.Mini niko mtandaoni kwa PC yangu sijaona hicho unasema. Nina kawaida ya kutafuna sana binafsi.
Kaumaliza mamako.Mgogoro ushaisha mahangaiko ya Seif tu ndo yanafanya watu wengine wadhani bado upo
Sifa kubwa ya mwanaccm ni kubishana hata na Muumba , Mpaka leo bado kuna wanaccm akiwemo Francis Mutungi wanaamini kwamba Lipumba ni Mwenyekiti wa cuf !Mini niko mtandaoni kwa PC yangu sijaona hicho unasema. Nina kawaida ya kutafuna sana binafsi.
Mini niko mtandaoni kwa PC yangu sijaona hicho unasema. Nina kawaida ya kutafuna sana binafsi.
Sifa kubwa ya mwanaccm ni kubishana hata na Muumba , Mpaka leo bado kuna wanaccm akiwemo Francis Mutungi wanaamini kwamba Lipumba ni Mwenyekiti wa cuf !
We huwa naonaga unaletaga vitu vya kinafiki sana na huwa havitokei.
Ile ya Mahakama ya ICJ-Uholanzi iliishia wapi?
Pole kwa kujidanganya na maneno yako ya mitandaoni.
Asante mkuu
cc. [HASHTAG]#erythrocyte[/HASHTAG]