kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,526
- 8,029
Wizara ya Sheria ya Marekani inasema
imefanikiwa kuzisoma data zilizohifadhiwa
kwenye Simu ya iPhone mali ya mmoja wa
walipuaji katika tukio la mauaji la San
Bernardino na kutangaza kuacha mpango wake
wa kisheria dhidi ya Kampuni ya Apple.
Wakili wa Marekani Eileen Decker alisema kuna
mtu aliisaidia idara hiyo kuifungua Simu hiyo ya
iPhone bila kuathiri data zilizohifadhiwa.
Kampuni ya Apple ilikataa kusaidia uchunguzi ,
kwa kusema ni kuweka ' historia mbaya.
Simu hiyo ni mali ya Rizwan Farook ambaye,
pamoja na mke wake, waliuua watu kumi na
wanne kusini mwa California Desemba mwaka
jana.
#mod huu uzi sijui kwanini mmeutoa asubuhi