Marekani yaanza kumtenga Mubarack | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marekani yaanza kumtenga Mubarack

Discussion in 'International Forum' started by Quinine, Feb 1, 2011.

 1. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,908
  Likes Received: 12,066
  Trophy Points: 280
  U.S. reaches out to ElBaradei

  By M. Alex Johnson
  For the first time, the United States has acknowledged speaking with opposition leader Mohammed ElBaradei.
  The notice came in a tweet this morning from P.J. Crowley, the chief spokesman for the State Department:
  [​IMG] Twitter.com

  The New York Times reports that the United States is trying to determine whether ElBaradei, who won the Nobel Peace Prize as head of the U.N. nuclear agency, is someone it can work with:
  Mr. ElBaradei, 68, had a fractious relationship with the Bush administration, one so hostile that Bush officials tried to get him removed from his post at the atomic watchdog agency. But as Egypt’s powerful Muslim Brotherhood and the secular opposition on the streets of Cairo have increasingly coalesced around Mr. ElBaradei to negotiate on their behalf, the Obama administration is scrambling to figure out whether he is someone with whom the United States can deal.
   
 2. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Mkuu nimeona kwa Aljazeera kuwa US wamemtuma Ambassador wao mmoja ambaeni mtaalamu wa mambo ya Politics na kwa situation kama hizo huko Egypt ili akajaribu kuongea pia na Opposition leaders kuokoa jahazi

  Hili nalo liwe funzo kwa viongozi wa Africa kama huko Ivory Coast Uganda still tuna marais ni ving'ang'a nizi sana hii ni kuonyesha kuwa marais wengi afrika hawajipangi kwa kuona alama za nyakati kiti cha Urais kinawaponza sana

   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0


  1. Mubarak sasa kuhutubia taifa la Misri usiku huu.

  2. Oboma naye aitisha Baraza lake la Usalama dakika chache zilizopita.

  Hivi sasa wako kwenye mkutano wa dharura kuhusu yanayoendelea Misri. Fuatilia maelezo zaidi kwenye THREAD ya 'Elbaradei' hapo juu.

  Source: CNN
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Punguza font size wewe kiumbe!
   
 5. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Rev Masanilo, nimefurahi sana kugundua tayari umetoka lupango. Mapendekezo yapo yamezingatiwa kwa haraka sana. Malaria Sungu vipi huko mkuu???
   
 6. N

  Ng'wamagigisi Member

  #6
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Please guys, for catch ups please subscribe to facebook and not here.
   
 7. MJINI CHAI

  MJINI CHAI JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 1,801
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  heshima mkuu, karibu Jamvini tena nimefurahi sana kukuona tena hapa JF
   
 8. M

  Mwera JF-Expert Member

  #8
  Feb 2, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Masanilo kafufukia wapi?kwa hakika ulipotea sana mkuu
   
 9. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #9
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hawa wakubwa kama kawaida yao.... washaanza kutaka urafiki na wapinzani!!!
   
 10. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #10
  Feb 2, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  Tatizo kubwa,democracy na njaa ni vitu ambavyo ni opposites-watu wenye njaa siku zote Dictatorship ndio inaowafaa,suala la egypt,the moment hawa watu wakipewa uhuru wakupiga kura,trust me Muslim brotherhood will win hands down na the once mighty Egypt will sink back to the dark ages
   
 11. czar

  czar JF-Expert Member

  #11
  Feb 2, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 340
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndivyo marekani walivyo, wanakutumia ukiisha maslahi wanakuacha kiaina. Nategemea na viongozi wengine watajifunza kutokana na hili.
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Feb 2, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kama Mubarak angekubali mapendekezo ya mwanzoni basi nafikiri situation isingekuwa inaenda kama ilivyo sasa tatizo ni ubishi na kutaka kukaa madarakani hadi pale uchaguzi utakapofanyika who knows muda huu hadi septemba ambao ni mwezi uliopangwa kwa ajili ya uchaguzi what can he do hapa katikati, nafikiri bado hajagundua kuwa marekani taratibu wanaanza kumgeuka
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Feb 2, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kuna mtu alisema Ivory Coast kinachohitajika ni nguvu mtu basi maana kama ni usuluhishi wa mgogoro hauna implication yoyote what next should be done? Ni kutumia nguvu na mabavu na baada ya hapo wanapelekwa kwa Ocampo
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Feb 2, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ukiona hivyo ujue kuna kitu hawawezi kutafuta urafiki for nothing
   
Loading...