Marekani yaanza kuichoka Israel

mbwewe

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
3,267
Reaction score
3,413
Source:http://freebeacon.com/national-security/reports-obama-mulling-sanctions-on-israel/

MY TAKE MI NAAMINI KWA ASILIMIA 80 ANAYESABABISHA MGOGORO HUU USIISHE NI ISRAEL.WANASEMA WANATAKA AMANI NA STILL WANAJENGA KWNY MAENEO YA WAPALESTINA HII INAMANIISHA NINI? WANATKA KWELI AMANI AU VITA KUNA HAJA YA DUNIA KUUNGANA KUPINGA HUU UPUUZI WA ISRAEL KWANI NI VIBURI AMBAO HAWASKII LA MTU
 
Nchi ya ahadi. We tumbili huwezi kupingana na ahadi za MUNGU wa kweli. Yaliyokwenye bible lazima yote yatimie ikiwamo jurudisha ardhi yote kwa waisrael

we nchi yao walikubali kuwa na 2 state option nakushangaa we mpambe
 
we nchi yao walikubali kuwa na 2 state option nakushangaa we mpambe

Walikubali kwa maneno angalia vitendo. We mwanaume akisema anakupenda hata km kwa vitendo anachepuka bado utashikiria kuwa anakupenda?
Acha ushabiki MUNGU hadhihakiwi.
 
siku marekani wakiwakatia maji na umeme mayahudi ndio wataacha kiburi na kuona uzayuni ni sera mbovu:glasses-nerdy:. Ikiwa obana anafikiria kuwawekea vikwazo mayahudi basi akili inaweza kuwarudia na kutaka maelewano yenye tija kwa pande zote:sad:. taifa la israel sio chochote bila dhamana ya marekana. Mayahudi na waarabu wanaweza kua na amani kama kila upande utaweza kuheshimu mila na desturi za kila upande. Je, hili litawezekana?
 
Walikubali kwa maneno angalia vitendo. We mwanaume akisema anakupenda hata km kwa vitendo anachepuka bado utashikiria kuwa anakupenda?
Acha ushabiki MUNGU hadhihakiwi.

so whats ur point bro! kwmba wapalestina wauwawe tu mpk mwisho wa dunia c ndyo? unafikiri kipi kitakachofanya kuwa na amani ya kudum middle east
 
Nchi ya ahadi. We tumbili huwezi kupingana na ahadi za MUNGU wa kweli. Yaliyokwenye bible lazima yote yatimie ikiwamo jurudisha ardhi yote kwa waisrael

Akili za kushikiwa hizi.dunia ya Leo Una mawazo primitive kiasi hiki. Una hasara wewe
 
mtoa mada naona uko kwenye kijiwe cha kahawa kariakoo.

uhusiano wa marekani na israel kamwe hauweI kuvunjika ata Obama aliwai sema.Matajiri wengi wakubwa hapa ni waisrael ata wanasayansi.

Raia wa hapa wengi hawataki kusoma tena sababu ya pesa za haraka haraka.

Haitowai tokea marekani kuiwekea vikwazo israel
 
Nchi ya ahadi. We tumbili huwezi kupingana na ahadi za MUNGU wa kweli. Yaliyokwenye bible lazima yote yatimie ikiwamo jurudisha ardhi yote kwa waisrael

Kasuku unaimba tu hata hujui nini unaimba, Mungu gani aliekuwa dhalimu kiasi hicho?
 
Lets wait and see, hakuna linalo shindikana maana mambo mengi yanabadirika kila siku.
 
Mgogoro ule unaendelezwa na makundi mawili, kundi la kwanza ni wale wenye maslahi ya kiuchumi na kisiasa,hawa wanajulikana. Kundi la pili ni hawa jamaa zangu wanaojifanya wana uhusiano aidha wa kiroho au wa kiukoo na Israel ili hali hawajui chochote juu ya taifa hili kwa undani ila maneno tu ya mtaani, someni mtawajua vizuri hawa watu mwarabu ni nani mpalestina ni nani, myahudi ni nani, ndipo useme sasa muisrael ni nani? . Nani anastahili nini?
 
Nchi ya ahadi. We tumbili huwezi kupingana na ahadi za MUNGU wa kweli. Yaliyokwenye bible lazima yote yatimie ikiwamo jurudisha ardhi yote kwa waisrael
{Say: We believe in Allah and that which is revealed unto us and that which was revealed unto Abraham, and Ishmael, and Isaac, and Jacob, and the tribes, and that which Moses and Jesus received, and that which the prophets received from their Lord. We make no distinction between any of them, and unto Him we have surrendered.} (Al-Baqarah 2: 136)

Hapo sijamuona katajwa mtungaji wa Bibilia(Paulo), lazima atakuwa shetani tu ndio sababu kawapoteza, sababu yeye ni MuIsrael:becky:
 
Hadith za kusadikika
 


Marekani atakata maji na umeme kwa njia ipi? Au unamaanisha nini?
 
Mkishachanganya sijui Bible na Quran kuhalalisha mi ndo Hapo nazidi kuipenda dini yangu ya jadi aisee.
Ahadi ya mungu kwenye kitabu chake kuuana km mbuzi maelfu kwa maelfu?
Duh Ndo maana mzungu na mwarabu kupitia dini alifanikiwa kututawala kirahisi sana.
Halafu waliomkataa Yesu Mnazareti ni watu gani?
Walomsulubu ni nani?
Mkristu au muislam kuingia dini ya uyahudi? Jews kabisa Judaism dini yao. Sasa nini cha kujinasibisha nao?
 
Hakuna vikwazo vitakavyowekwa. Angeweza Mwalimu tu. Alithubutu kuwaalika na kuwapa ubalozi Wapalestina na akawatetea siku zote umoja wa mataifa kwa misingi ya kutekeleza sheria za Kimataifa bila ubaguzi.
 
Israel kwa sasa imebaki na US tu...nae akimtema basi kaisha...EU wameshamchoka...kuna lecture niliudhuria juzi kati ya jamaa mmoja alikuwa na moja kati ya vyeo vya juu sana UN (keshastaafu maana ana miaka 80 sasa) aliulizwa swali kuhusu Israel na failure ya UN ku solve huu mgogoro...akasema tatizo ni US tu pamoja na Evangelicals...hapo sikumuelewa hao Evangelicals wanakujaje... labda mnaojua historia ya dini mtuelimishe...maana sikupata muda wa kumuuliza afafanue...
 
Nchi ya ahadi. We huwezi kupingana na ahadi za MUNGU wa kweli. Yaliyokwenye bible lazima yote yatimie ikiwamo jurudisha ardhi yote kwa waisrael

Huwezi kupingana na ahadi za Mungu za kweli, ukiwa mbele za Mungu.


Angalia mambo ya Watu wa Mungu za ukweli wanavyotimiza Ahadi. Wamefanikiwa kuigeuza kuwa nchi ya Ahadi.

Link PHOTOS: Israel Gay Pride Parade in Tel Aviv

Unajua nini kinaendelea katika nchi ya ahadi?

Link http://www.haaretz.com/news/national/.premium-1.59

Ahadi yenyewe ni hiyo?

Unajua Zionism ni nini?

[video]https://www.youtube.com/playlist?list=PL40E40C0B4A0A7D 69[/video]

Link Zionism and the Creation of Israel

Link Zionism

Link Why Orthodox Jews are Opposed to the Zionist State
 
Last edited by a moderator:

Kilaza kweli wewe, eti nchi ya ahadi, ahadi yao waliambiwa wauwe watoto, wanawake, na watu wasio kuwa na hatia wala silaha ndio waikomboe nchi ya ahadi? Hiyo pesa ya nchi huru ya Palestina mwaka 1927 wakati huo Israel ilikuwa wapi?
 

Attachments

  • 1418356644124.jpg
    58.2 KB · Views: 207
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…