Marekani ya kubali Yaishe

Marekani ya kubali Yaishe

FURY BORN

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2020
Posts
637
Reaction score
1,152
Marekani imewalipa kundi la wadukuaji wa mitandao kiasi cha USD milioni 5, ili kuliachia bomba kubwa la mafuta la Colonial. Tafsiri yake ni kufeli kwa mfumo wa kiulinzi na kiuchunguzi wa USA. Ikiwa walishindwa kulinasua bomba kwa takribani wiki nzima na hatimaye kuamua kulipa hii si habari njema kwa Marekani, lkn kwa upande wa pili ni habari njema kwa mahasimu wake
 
Hapa Ndugai lazima anahusika! Huyu naye inabidi mama amle kichwa, baada yake aje Ali Hepi, Chalamila na wengineo.

Ndugayi Ni jinga sana
 
Back
Top Bottom