Marekani wanamkubali Dr. Magufuli, cheki picha hii

angalia kijana, FBI watakutia nguvuni. cheza na mwingine lakini sio rais wao......
 
U.S.A wanaichukia CCM kama Osama..!!

Hiyo picha subiria C.I.A wakuone.. utajutia kuzaliwa...!!!
 
Picha ya kutengeneza PhotoShop nakuomba uongezee na ya PAPA, Mahatma GHANDHI ARISTOTLE, FIDELI CASTRO,ADOLF HITTLER MUSSOLIN YESU n.k utaeleweka zaidi
 
hapa kazi tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Kichwa cha Obama lakini mwili sijui ni wa kombani πŸ˜€πŸ˜€ na bango ni la ccm πŸ˜€ mwaka huu ccm miguu iko juu na mgongo wanaugaragaza chini kama mende aliyepata ajali ya kuangukiwa na mwiko ✌✌✌✌✌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…