Wanatangaza kuua kila uchao vita hawailimalizi nchi kama chanika aibu kwa wanaojiita mataifa makubwa maji ya kina kirefu hayapigi kelele yanazamisha tu!
Huruma hakuna hata chembe Hamas hawana wanajeshi elfu 30 lakini mpaka leo tunaelezwa wameshauwawa wapalestina zaidi ya elfu 27 huoni huo wingi ni watoto na kina mama!IDF wana uwezo wa kupiga kale kasehemu kitu kinaitwa carpet bombing kafutike ndani ya masaa, ila inabidi wawe na huruma kwa kina mama na watoto ambao wanatumika kama kinga, huku hao hao IDF wakipelekwa kushtakiwa ICJ.
Ingekua Urusi au China, hivi vita vingeisha kitambo maana wale huwa hawarembi au kubembeleza magaidi ya dini, wanapiga na kulipua chochote kinachotamba.
Huruma hakuna hata chembe Hamas hawana wanajeshi elfu 30 lakini mpaka leo tunaelezwa wameshauwawa wapalestina zaidi ya elfu 27 huoni huo wingi ni watoto na kina mama!
Kwahiyo yupo mbinguni anatwanga bikra 🤣🤣🤣Kawahishwa kwa mabikira, ni mojawapo wa makundi yanayofadhiliwa na Iran....
A commander from Kataib Hezbollah, an Iran-backed armed group in Iraq that the Pentagon has blamed for attacking its troops, was killed in a US strike on Wednesday, the US military said.
"(US) forces conducted a unilateral strike in Iraq in response to the attacks on US service members, killing a Kataib Hezbollah commander responsible for directly planning and participating in attacks on US forces in the region," a statement from the military said. It did not name the commander.
It added that there were no indications of civilian casualties
Umeelewa kilichoandikwa? Hiyo ni air strike imefanywa na unmanned aircraft ndani ya Iraqi. Imeuwa kamanda wa ma chawa wa IranWanatangaza kuua kila uchao vita hawailimalizi nchi kama chanika aibu kwa wanaojiita mataifa makubwa maji ya kina kirefu hayapigi kelele yanazamisha tu!
Shoo shoo mchana na usiku,milele na milele huko huku Allahu akbar wao anashuhudia show live na pembeni mito inatiririsha wine na HeinekenKwahiyo yupo mbinguni anatwanga bikra 🤣🤣🤣
Hizi Imani za warabu hovyo kabisa!!
hv umeielewa thread kwanza ?Wanatangaza kuua kila uchao vita hawailimalizi nchi kama chanika aibu kwa wanaojiita mataifa makubwa maji ya kina kirefu hayapigi kelele yanazamisha tu!
R.I.P JoshuaMungu ibariki USA, Mungu ibariki Israel, Mungu tubariki watanganyika.
kwan wale 1400 walikuwa wanajeshi ? unapoua mtu unataka ndugu ake akuonee huruma?Huruma hakuna hata chembe Hamas hawana wanajeshi elfu 30 lakini mpaka leo tunaelezwa wameshauwawa wapalestina zaidi ya elfu 27 huoni huo wingi ni watoto na kina mama!
Bikira 72 zinahalibu akili za watuhv umeielewa thread kwanza ?
Vita ni mbinu na hiyo ni mbinu mojawapo. Tuungane pamoja kulaani magaidi wanaohatarisha amani ya dunia.Wanatangaza kuua kila uchao vita hawailimalizi nchi kama chanika aibu kwa wanaojiita mataifa makubwa maji ya kina kirefu hayapigi kelele yanazamisha tu!
Yule Mungu wa alshabab na Boko haram na Hamas na alqaida. Huwa wanamuimba hata kama wakiwa wanabaka.Vita ni mbinu na hiyo ni mbinu mojawapo. Tuungane pamoja kulaani magaidi wanaohatarisha amani ya dunia.
Hawa magaidi kuna wakati wanajilipua na kuua hata watu wa imani moja nao wakidai wametumwa na mungu wao anayeitwa allah. Bure kabisa.
Kweli unamahaba, mpaka wewe mwenyewe ukajiweka wa mwisho kwenye maombi!Mungu ibariki USA, Mungu ibariki Israel, Mungu tubariki watanganyika
Wewe ulitakaje?? Mdangie Netanyahu hawasameeHuruma hakuna hata chembe Hamas hawana wanajeshi elfu 30 lakini mpaka leo tunaelezwa wameshauwawa wapalestina zaidi ya elfu 27 huoni huo wingi ni watoto na kina mama!