Marekani Waliinunua Alaska kama shamba toka kwa Urusi!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,658
15,784
Mwaka 1867 Urusi iliwauzia Wamarekani jimbo la Alaska kama shamba kwa Dola za Kimarekani 7.2M ambazo kwa sasa ni kama USD 124M.
Alaska japo ina ukubwa kama mara moja na nusu ya Tanzania, ina wakazi wasio zidi milioni moja...
 
Duh, nikasikia na Crimea walitoa zawadi kwa Ukraine. Urusi naona hawana tofauti na bashite
 
MAJIMBO KADHAA MENGINE PIA WALINUNUA.

NA SISI ILITAKIWA TUINUNUE RWANDA NA BURUNDI NI VILE TU TUMECHELEWA.
Mhh Huko hapana bora tungeinunua Mombasa, Zanzibar na malawi
 
hadi leo urusi wanalia na hii ni kithibitisho
check.gif
 
MAJIMBO KADHAA MENGINE PIA WALINUNUA.

NA SISI ILITAKIWA TUINUNUE RWANDA NA BURUNDI NI VILE TU TUMECHELEWA.
Aseee bhas labda zanzibar itatufuta machozi kwa vile iko kibindoni
 
ndugu yangu warusi wanamaeneo mpaka wanayasahau ndug.kuna jimbo lao moj ili ufike ni lazima upite latvia,uje tena upite lithuania kish ndo ufike ilo jimbo.linaitwa kalingrad city
 
hadi leo urusi wanalia na hii ni kithibitisho
check.gif
Katika kitu ambacho watawala wa Soviet Union (1917-1992) na Russian Federation wanajutia hadi leo ni hilo la utawala wa Tsar wa Russia kuuza Alaska. Hii inafanana kidogo na uamuzi wa Queen Victoria kubadilisha mpaka kati ya Kenya colony na Germany Ost Africa (Tanganyika) ili kuutoa mlima Kilimanjaro kama birthday present kwa King Wilhelm wa Germany. Hadi leo waKenya hulalamikia uamuzi huo.
 
Mwaka 1867 Urusi iliwauzia Wamarekani jimbo la Alaska kama shamba kwa Dola za Kimarekani 7.2M ambazo kwa sasa ni kama USD 124M.
Alaska japo ina ukubwa kama mara moja na nusu ya Tanzania, ina wakazi wasio zidi milioni moja...
tafuta hum uzi kuna jamaa aliweka akaelezea vizuri xn;sio ww unakuja unaleta uzi km unamtumia malayer wako sms!
 
ndugu yangu warusi wanamaeneo mpaka wanayasahau ndug.kuna jimbo lao moj ili ufike ni lazima upite latvia,uje tena upite lithuania kish ndo ufike ilo jimbo.linaitwa kalingrad city
Lile jimbo lilikuwa la ujerumani baada ya vita vya pili vya dunia yeye akajichukulia, limekuwa jimbo la kimkakati sana kwa russia
 
Back
Top Bottom