MAREKANI: Tweet ya Trump yaongeza vitisho vya mauaji kwa Mbunge mwenye asili ya Somalia

Acha kutudanganya wewe ajuza usidhani historian ya marekani hatuijui vizuri .


Halafu waislamu huwa mnafuata nini kwenye nchi za makafir nyie watu wa ajabu sana kwanini msiende ishi huko OMan ,Saudis,Jordanian,Sudan

Kila Sikh mnakimbilia UK,US,Canada kufanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani makafiri wanaenda kufanya nn Iraq, Afghan Libya somal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu demu sipendi siasa zake,na yule mspanish ni ma leftist wa ajabu,wanawachukia matajiri acha kabisa. Sipendi ideas zao.
 
huwa napata taabu kuamini kuwa nao wanaabudu Mungu nimwabuduye, wamejaa chuki na visasi

Sent using Jamii Forums mobile app
Usipate tabu,
Amini
Mungu wetu siyo wao,
Tunaemuita sisi ib ilisi wao ndo mungu,
Maana chuki,husuda,mauaji,ubaguzi,roho mbaya,ndo njia yao na haya yote kwao ukiyatenda dhidi ya wengine unakuwa umetimiza maagizo ya mungu wao,ambayo sisi tunasema ukiyatenda hayo unakuwa umemtumikia ib ilisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom