real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
hapa tz kukitokea mtoto wa kiongozi aliyepita akiwa naye kiongozi watu wanalakamika kweli kuwa kuna usultani, mfano ile ishu ya mtoto wa mgimwa, kigoda, sumari, mwinyi etc,
ila hii mambo ipo hadi kwenye taifa linalodaiwa kuwa muasisi wa demokrasia na usawa na uwazi zaidi duniani U.S.A
1.George H Bush , baba yake George W Bush alikua rais wa marekani,
2.George W Bush nae akawa rais wa marekani
3.Jeb Bush mdogo wake George W. Bush naye yupo mstari wa mbele kwenye chama chake cha republican kuwania kuteuliwa kugombea urais,
4. Bill Clinton alikua rais wa marekani
5. Hillary Clinton wife wa Bill Clinton naye anawania kuteuliwa na ana chance ya kuteuliwa na chama chake cha democratic kuwa mgombea
hao ni kwa ngazi ya urais
ngazi nyingine za chini nafikiri watakuwepo wengi zaidi wanaofuata ukoo