The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,343
- 11,837
Sisi Iran hatutishiwi na tweets, sanctions, wala press conference. Mnatumia mabilioni kuleta carrier baharini; sisi tunatumia akili na subira na bado mnasema ‘we’re concerned’.
Kama kweli mna nguvu, mbona kila mara mwisho wake ni ‘dialogue’?
USA mnajiita ‘superpower’, lakini kila mkikutana na mimi mnasema ‘all options are on the table’ halafu mnaondoka bila kugusa chochote. Mnatuogopa zaidi sisi kuliko tunavyowaogopa ninyi.
Mnatutishia sanctions miaka 40 na bado tupo, nyinyi ndio mna inflation, debt ceiling🤣. Mnabakia kuwa wezi na kutumia minguvu kama jinga kwenye vinchi visivyo na tishio.
Kama nguvu zenu ni kweli, kwa nini mshirika wenu mdogo kila siku analia aokolewe?
Nimechoka kelele zako! Kama vipi tuzikunje tu uone kama mimi ni mnyonge kama unavyodhani.
Tupo tayari, paka nyie!!.