Marekani na Zelensky wailalamikia Urusi kuiondoa Kyiv kwenye mgao wa umeme toka kwenye mtambo wa nyuklia wa Zaporizhzhia

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Dec 27, 2019
2,921
15,613
Marekani na Ukraine zinalalamika kuwa Urusi imeikatia Umeme Kyiv toka kwenye mtambo mkubwa wa nyuklia wa kufua umeme uliokuwa mali ya Ukraine kabla ya kuanza vita vya Ukraine. Mtambo huonwa nyuklia wa Zaporizhzhia ndio mtambo mkubwa zaidi kwa Ulaya nzima, na umo kwenye top 10 ya mitambo mikubwa ya nyuklia duniani. Kwa sasa ni mali ya Urusi.

Kwa kweli huu ni udhaifu wa hali ya juu aisee. Zelensky anasema kwa huzuni, huku machozi yakimbubujika kwa uchungu, kuwa mtambo ulijengwa na Ukraine ili uwasaidie waUkraine, inakuwaje mtambo huo unaondolewa kwenye grid ya taifa la Ukraine?! Hadi Ikulu ya Kyiv imakatiwa umeme?! Halafu cha kushangaza umeme wote wameelekezwa kwenda Jamuhuri za Watu wa Luhansk na Donetsk?

Mwambieni Biden na Zelensky watulie...hizo ndio faida za kushindwa vita. Walifanya udhaifu mkubwa sana kushindwa vita ya kuulinda mtambo huo mpaka ukaangukia mikononi mwa majeshinya Urusi. Kama wanataka umeme, waende wakaukomboe mtambo, sio kulialia hapa.
=====

US warns Moscow not to divert power from Ukraine nuclear plant​

Europe's largest nuclear facility has been occupied by Russian troops​

By AFP​

Published: Fri 26 Aug 2022, 6:54 AM

On Thursday, Washington warned Russia against diverting energy from a nuclear plant Kyiv says was cut off from its grid, as calls mount for an independent inspection of the facility.

Ukraine's Zaporizhzhia nuclear plant is under occupation by Moscow's troops and was disconnected from the national power supply on Thursday, the state energy operator said.

"The electricity that it produces rightly belongs to Ukraine, and any attempt to disconnect the plant from the Ukrainian power grid and redirect to occupied areas is unacceptable," State Department spokesman Vedant Patel told reporters.

"No country should turn a nuclear power plant into an active war zone and we oppose any Russian efforts to weaponize or divert energy from the plant," he added.
 
Hapa inabidi SETHI na RUGEMALILA washilikishwe kwenye hii fursa

Watakuja watu wakwambie urusi hana chochote. Kisha wajiliwaze na hotuba waliyoiandaa wao kwamba Putin alisema ataiteka kyiv kwa siku mbili.
Mabeberu wakubali hawawezi Urusi, wanawatesa raia wao Bure, msimu wa baridi hawataamini macho yao,akili kubwa itawanyanyasa mbaya, Kwa kuwa saidia kidogo TU,Mzee Baba atakuwa anawaminya pumzi ana waachia,anawaminya anawaachia Hadi pale ubongo wao kama wa kenge ukielekea kukataa moto ndio watakubali mrusi hajatetereka na uwanja wa vita anaendelea kupata mafanikio na kiuchumi hajaumia ,na wanaoteswa niraia wa ulaya wasiona hatia Kwa Hali ngumu kiuchumi na baridi linalo sogea sogea🤔
 
Mabeberu wakubali hawawezi Urusi,wanawatesa raia wao Bure,msimu wa baridi hawataamini macho yao,akili kubwa itawanyanyasa mbaya, Kwa kuwa saidia kidogo TU,Mzee Baba atakuwa anawaminya pumzi ana waachia,anawaminya anawaachia Hadi pale ubongo wao kama wa kenge ukielekea kukataa moto ndio watakubali mrusi hajatetereka na uwanja wa vita anaendelea kupata mafanikio na kiuchumi hajaumia ,na wanaoteswa niraia wa ulaya wasiona hatia Kwa Hali ngumu kiuchumi na baridi linalo sogea sogea
Wanajeshi wanaokufa na kujeruiwa unawachukuliaje wewe mtoto wa binadamu

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Marekani na Ukraine zinalalamika kuwa Urusi imeikatia Umeme Kyiv toka kwenye mtambo mkubwa wa nyuklia wa kufua umeme uliokuwa mali ya Ukraine kabla ya kuanza vita vya Ukraine. Mtambo huonwa nyuklia wa Zaporizhzhia ndio mtambo mkubwa zaidi kwa Ulaya nzima, na umo kwenye top 10 ya mitambo mikubwa ya nyuklia duniani. Kwa sasa ni mali ya Urusi.

Kwa kweli huu ni udhaifu wa hali ya juu aisee. Zelensky anasema kwa huzuni, huku machozi yakimbubujika kwa uchungu, kuwa mtambo ulijengwa na Ukraine ili uwasaidie waUkraine, inakuwaje mtambo huo unaondolewa kwenye grid ya taifa la Ukraine?! Hadi Ikulu ya Kyiv imakatiwa umeme?! Halafu cha kushangaza umeme wote wameelekezwa kwenda Jamuhuri za Watu wa Luhansk na Donetsk?

Mwambieni Biden na Zelensky watulie...hizo ndio faida za kushindwa vita. Walifanya udhaifu mkubwa sana kushindwa vita ya kuulinda mtambo huo mpaka ukaangukia mikononi mwa majeshinya Urusi. Kama wanataka umeme, waende wakaukomboe mtambo, sio kulialia hapa.
=====

US warns Moscow not to divert power from Ukraine nuclear plant​

Europe's largest nuclear facility has been occupied by Russian troops​

By AFP​

Published: Fri 26 Aug 2022, 6:54 AM

On Thursday, Washington warned Russia against diverting energy from a nuclear plant Kyiv says was cut off from its grid, as calls mount for an independent inspection of the facility.

Ukraine's Zaporizhzhia nuclear plant is under occupation by Moscow's troops and was disconnected from the national power supply on Thursday, the state energy operator said.

"The electricity that it produces rightly belongs to Ukraine, and any attempt to disconnect the plant from the Ukrainian power grid and redirect to occupied areas is unacceptable," State Department spokesman Vedant Patel told reporters.

"No country should turn a nuclear power plant into an active war zone and we oppose any Russian efforts to weaponize or divert energy from the plant," he added.
KUDADEKI! machumachuma ya marekani na NATO tupa kule. Hayana impacts zozote zile sanasana yanawaongezea waukraine maumivu tu
 
Mkiambiwa Putin Ni genius ,alishaplan hii move long time,alishajua yafuatayo kabla sisi wachambuzi wabongo hatujajua Vita utakuwepo
1.Aliplan hii Vita muda mrefu
2.Aliplan maeneo gani muhimu atayachukua na maeneo gani atawaachia ili mteseke nayo
3.mtakuja na vikwazo vitavyowaumiza nyinyi na dunia
4.alishajiandaa kwa pesa,mafuta,gesi,chakula,silaha,watu kwa muda mrefu
5.Alishajiandaa kwa gharama za Vita ili asifiliisike ie ameshachukua maeneo ya Ukraine yenye viwanda vikubwa, bandari,powerplants,nuclear plants,migodi kikubwa,food reserves etc
Kwa mbumbumbu wasiojua sasaivi sio gharama ya Vita tu anayogharamia Ukraine mwenyewe Bali mapato muhimu na resources anachukua Russia, pia silaha za misaada kwa Ukraine kutoka kwa mashoga ndio hizo hizo anazotumia kwa kuziteka na pia anatumia silaha za zamani USSR age kuclear mahhala ya silaha huku akijiandaa kwa Vita kubwa na ndefu na NATO na USA
6.Maeneo anayochukua Ni yake maeneo pia yaliyo karibu na Nate kiboundary,hivyo basi Kuna uwezekano mkubwa Eneo kubwa la Ukraine kuwa buffer. Zone ya Russia kwa kuwekewa silaha kubwa na nuclear na Ukraine kubaki na kupanda tu,
7.Muda huu wa Vita Russia anasambaza technology hatari Kama za ICBMs,S-400,500,550generation , nuclear ,hypersonic a etc kwani USA na NATO wameshavunja agreement ya usambazaji silaha,
8.Akimaliza hii show hakuna kima yoyote anayepakana nae atakayethubutu kudanganyika na mashoga Tena
Adios
 
Shikamoo mkuu
 
Mrusi hii vita itaigharimu sana mbeleni
Kuvamia Ukraine walikosea Urusi itaendelea kuwa vitani kwa Miaka mingi ijayo

Wangekuwa na akili wangeondoka Ukraine
Urusi ilitakiwa impindue Putin na kumuua kabisa sababu yeye ndie Tatizo Urusi
 
Back
Top Bottom