Marekani na Waasi wa Libya,kulikoni!!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marekani na Waasi wa Libya,kulikoni!!?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sir echa, Jul 16, 2011.

 1. s

  sir echa Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serikali ya Marekani imetangaza bayana kuwatambua waasi wa libya,

  Kwa mujibu wa vyombo vya habari ni kwamba pesa yote iliyopo Marekani ambayo ilikuwa chini ya serikali ya Gadaffi,sasa ni halali kwa waasi..imekaaje hiyo mbona siipati vizuri??inakuaje Waasi wa Libya wamekubalika kirahisi sana na mataifa hayo makubwa kulinganisha na waasi wa maeneo mengine ulimwenguni??
   
Loading...