mzalendo15
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 1,361
- 1,053
Marekani na jumiya ya ulaya kusitisha misaada kisa uchaguzi wa Zanzibar ni unafiki uliokithiri.
Siku zote maslahi yao yanapoingiliwa wanajidai kuja na vitisho. Tunapaswa tujiulize kwanini wanashupali suala la Zanzibar peke yake na kuacha kuzungumzia kasoro nyingi sana zilizotokea kwenye uchaguzi Tanzania bara.
Kama walidiriki kusema Uchaguzi wa Tanzania bara ulikuwa wa huru na haki licha ya kasoro zilizo jitokeza basi uchaguzi wa wamarudio Zanzibar ulikuwa wa haki.
Waache unafiki na vikwazo ikibidi Tanzania tujiunge na jumuiya nyingine ambazo hazifungamani na Marekani na Jumuiya ya ulaya wanaotunyonya na kutudidimiza kimaendeleo kwa misaada yao.