Marekani na China Wafanya Mazungumzo ya awali Kuhusu uendeshwaji wa TikTok

Marekani na China Wafanya Mazungumzo ya awali Kuhusu uendeshwaji wa TikTok

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Marekani imetangaza makubaliano ya awali na China kuhusu kutatua mgogoro wa TikTok, ambapo yamependekeza kwamba umiliki wa programu/Mtandao huo inayomilikiwa na Wachina upewe kampuni zitakazodhibitiwa na Marekani

Waziri wa Fedha wa Marekani, Scott Bessent, alitangaza makubaliano hayo baada ya siku ya pili ya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu wa China, He Lifeng, mjini Madrid, ambayo pia yaligusia mzozo mpana wa kibiashara kati ya Marekani na China, Aliongeza kuwa Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa China Xi Jinping watazungumza Ijumaa ili kukamilisha makubaliano hayo

TikTok, ambayo ina watumiaji karibu bilioni mbili duniani kote, inamilikiwa na ByteDance, kampuni ya teknolojia yenye makao yake nchini China

Soma pia TikTok imetangaza kusitisha rasmi shughuli zake nchini Marekani ifikapo Januari 19, 2025

1758023469374.png

=============

The United States has announced a "framework" deal with China to resolve their dispute over TikTok that calls for the Chinese-owned app to pass to US-controlled ownership

US Treasury Secretary Scott Bessent announced the agreement after a second day of talks with Chinese Vice Premier He Lifeng in Madrid, which also includes discussions about the wider US-China trade dispute

"It's between two private parties, but the commercial terms have been agreed upon," he said
Bessent declined to give further details, saying US President Donald Trump and his Chinese counterpart Xi Jinping will speak on Friday to "complete" the agreement

TikTok -- which boasts almost two billion global users -- is owned by China-based internet company ByteDance

Source: AFP NEWS AGENCY
 
Si wangesitisha tu shughuli zake Marekani kama walivyotangaza mwanzo...
 
Si wangesitisha tu shughuli zake Marekani kama walivyotangaza mwanzo...
Wazungu sio Wajinga kama Msigwa hizi social media na vyombo vya habari vya adui yako au mpinzani wako ni chanzo cha taarifa za kiintelijensia
 
Cha msingi hiyo "Framework" yasemaje ndio changamoto yenyewe kwa Tiktok.
 
Back
Top Bottom