Bukayo jr
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 2,782
- 1,647
Bi ciera Ross mama wa watoto wawili, amekamatwa kwa kosa la kumbaka mwanaume, kwa mujibu wa chombo cha habari cha CBS chicago Marekani, bibie huyo na wenzake walikuwa wakiendesha huko kaskazini mwa Chicago na walimwona mwanaume huyo akiwa akitembea pembezoni mwa bara bara usiku mnamo mwishoni mwa july 2014
Mwanamke huyo mwenye miaka 25 alizuia gari lake karibu kabisa na jamaa huyo ambaye ana umri wa miaka 33 na kumuuliza kama alitaka ofa ya Lifti, mwanaume huyo alikubali lakini mwanamke huyo alikuwa na mikakati mingine kichwani mwake kwani punde tu mwanaume huyo alipoingia kwenye gari alimtolea Bastola, akamwamuru ateremke aende siti ya nyuma ya gari na afanye mapenzi na rafiki yake wa kike aliyekuwa ndani ya gari humo.
Mwanaume huyo alikuwa akiwataka wamuache na hawakuwa tayari kwa kuwa walikuwa wamemwoneshea bastola na kumbana katika vifau vyao, Ross (mtuhumiwa) akamwamuru jamaa huyo kutoa nguo zake na mwanamke mwingine akamrukia kwa nguvu, pia wanawake hao walichukua kiasi cha Dolla 2000 kwenye wallet ya huyo jamaa na Credit cards zake.
Kidume huyo alifanikiwa kutoka mbio baada ya kupata mwanya baada ya Taxi kusimama karibu na gari yao na huku akiwa uchi wa mnayama akaikimbilia taxi ile kuomba msaada, mwenye taxi akamchukua upesi na kufanikiwa kupiga picha number za gari za gari la mtuhumiwa.
Sep 3 mwaka huu Ross alikamatwa na polisi wa chicago na mwanaume huyo alimtambua kuwa ndiye mwanamke aliyemvamia na kumbaka
Chanzo : Chicago mother arrested for raping a man at gunpoint