Wote hawa kawalambisha udongo kubabakeMarekani itabaki historia ,alisikia muuza alkasusu pale msikiti wa Mtoro View attachment 3571509
Mmarekani wa ungalimitedi kwenye moja na mbiliMarekani itabaki historia ,alisikia muuza alkasusu pale msikiti wa Mtoro View attachment 3571509
Ndio nyinyi mahakamani kwa lissu mnaimba nyimbo za kumtoa lissu jela,Wote hawa kawalambisha udongo kubabake
Mkiambiwa msome, mnasema mnadharauliwa;Marekani itabaki historia ,alisikia muuza alkasusu pale msikiti wa Mtoro View attachment 3571509
Mkishashiba makande mnaongea chochoteMkiambiwa msome, mnasema mnadharauliwa kuwa mna Elimu za kuunga unga;
Kwa wale wasomi wabobezi wa History; wanajua kabisa Marekani kuangukia pua sio ajabu. Mfano; kama Roman Empire ya mwaka 476AD, au Mongol Empire ya 14 Century na hii ya hapa majuzi; Ottoman Empire ya mwaka 1922 zote hizo ziliweza kuanguka na zilikuwa na nguvu pengine mara kadhaa zaidi ya Marekani (kwa wakati wake); Unanifikiri nini cha ajabu kwa marekani ku collapse?
Huwa na waambia Irani Ipo katika nchi tano Duniani ambazo raia wake wamesoma vizuri tena Elimu ya juu (masomo ya Sayansi) na sio historia sijui, Theologia.....na ndio sababu wanajiamini.......
Mkiambiwa msome, mnasema mnadharauliwa;Mkishashiba makande mnaongea chochote
Dola ya mwisho baada ya Marekani na nchi za Ulaya ,ni Ujio wa Yesu kristo
Acha kudanganywa na masheikh ubwabwa eti Kuna DOLA YA ALLAH inakuja mara Dola ya Uislamu
Kwasasa magaidi ni watachezea vipigo tu
Ngoja nikupe elimu ambayo huwezi kupewa madrasa mpaka unakufa
Ndoto hii ilitafsiriwa na nabii Danieli na inaonyesha falme (dola) kuu za dunia mpaka mwisho.
View attachment 3571532
1. Kichwa cha dhahabu
👉 Inawakilisha Dola ya Babeli
Mfalme wake: Nebukadneza II
Ilikuwa dola yenye utukufu mkubwa
2. Kifua na mikono ya fedha
👉 Dola ya Umedi na Uajemi
Iliichukua Babeli
Ilikuwa dhaifu kidogo kuliko ile ya kwanza
3. Tumbo na mapaja ya shaba
👉 Dola ya Ugiriki
Iliongozwa na Alexander Mkuu
Ilienea haraka sana duniani
4. Miguu ya chuma
👉 Dola ya Roma
Ilikuwa na nguvu sana, ilivunja falme nyingine
5. Miguu ya chuma na udongo
👉 Falme zilizogawanyika (baada ya Roma)
Nguvu + udhaifu kwa pamoja
Watu wengi huona hizi kama mataifa ya sasa yaliyotokana na Roma
Jiwe lililochongwa bila mikono (Danieli 2:34-35)
Jiwe linawakilisha Yesu Kristo
Jiwe linapiga sanamu yote linaangusha falme zote za dunia
Linakuwa mlima mkubwa unaojaza dunia yote
KWAHIYO BAADA YA MAREKANI NA UMOJA WA ULAYA ,HAKUNA DOLA NYINGINE
HAYA YAMEANDIKWA MWAKA 538BC
NA YANATIMIA VILE VILE
Muhtasari Rahisi👇👇👇
Babeli
Umedi na Uajemi
Ugiriki
Roma
Falme zilizogawanyika (leo)
MwishoUfalme wa Mungu kupitia Yesu Kristo
View attachment 3571530
Nishakupa jibu ,kwa ujinga wako umerudia kile kileMkiambiwa msome, mnasema mnadharauliwa;
Kwa wale wasomi wabobezi wa History; wanajua kabisa Marekani kuangukia pua sio ajabu. Mfano; kama Roman Empire ya mwaka 476AD, au Mongol Empire ya 14 Century na hii ya hapa majuzi; Ottoman Empire ya mwaka 1922 zote hizo ziliweza kuanguka na zilikuwa na nguvu pengine mara kadhaa zaidi ya Marekani (kwa wakati wake); Unanifikiri nini cha ajabu kwa marekani ku collapse?
lissu anaingiaje hapa asee?!Ndio nyinyi mahakamani kwa lissu mnaimba nyimbo za kumtoa lissu jela,
WameelewaNishakupa jibu ,kwa ujinga wako umerudia kile kile
Dola ya mwisho baada ya Marekani na UMOJA WA ULAYA ni DOLA YA KRISTO BWANA WA MABWANA MFALME WA WAFALME
hii MIGAIDI ina vichwa VIKUBWA ila vimejaa TOPEMarekani itabaki historia ,alisikia muuza alkasusu pale msikiti wa Mtoro View attachment 3571509
Tushangalieni jamani Marekani Kwishnei. Kammon kata hilo uunoo nyau ww.Zilikuwa zama sawa na man u, bercalona, Hitler na sasa Marekani.
Itabaki historia
Marekani inaanguka lini mkuu!?Mkiambiwa msome, mnasema mnadharauliwa;