Marekani kuondoa wanajeshi wake Syria

Trump ni mfanyabiashara mahiri , bado ana instincts na mentality ya kibiashara na sio ya kisiasa.. Alivyosema "America first" ina maana watu hawakumuelewa ? Hayuko tayari kupambana kuimarisha uchumi wake halafu wakati huohuo aone rasilimali ikipotea hivihivi katika kupeleka majeshi sehemu zisizomhusu kichwa wala mguu, ndio maana hotuba zake zote anafocus masuala ya kiuchumi...Saudia ni mshirika wake mkubwa lakini kamwambia usipolipia kukutunza utaporomoka in 2 weeks, so maamuzi yake yote yanalenga kuokoa gharama na kuongeza kipato, masuala ya kisiasa sijui ya uhusiano wa kimataifa usiokuwa na tija kiuchumi huwa haelewi kabisa , hajali ya jirani wala ya mshirika, refer kodi alizowaongezea washirika wake Canada, Japan, China, UK, ukuta wa Mexico, yeye anachoangalia ni pesa ( America first ) ngonjera za mahusiano ya kimataifa ni lugha asiyoielewa kabisaaaa.
 
Yani unasema Urusi sio kitisho kwa US kwa namna yoyote.

Are you serious???.
 
Yani unasema Urusi sio kitisho kwa US kwa namna yoyote.

Are you serious???.
Ndio.sio tishio kwa namna yoyote ile.Ni kama nchi zingine tu.otherwise nambie nini maana ya tishio.Na urusi anamtisha nini US?
What i mean ni kwamba hayo ni mashindano tu ambayo wewe na jiran au rafiki yako unaweza kuyafanya lakin hayana hostility ndani yake kama ilivyokuwa enzi za wakina lenin.Nchi ambazo zina hostility kwa US by now siion kabisa.

saiz kuna mashindano ya kiuchumi.na kidiplomasia na nguvu ya silaha/jeshi ni kwa kiwango kidogo tofauti na zaman.Nchi kama Iran,Turkey na zinginezo za kiarabu hostility ipo kwenye uchumi.mambo ya vita yamepitwa na wakati
 
Huyo nawe siku hizi kawa poyoyo tuu.full taarabu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…