Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,264
- 4,744
Marekani kusaidia Israel kujilinda
Marekani imepitisha mswada unaotoa msaada wa kifedha kwa Israel kuimarisha mfumo wake wa kujilinda dhidi ya makombora.
Mswada huo unatoa dola millioni mia mbili na ishirini na tano kuimarisha mfumo huo ambao umetumiwa kuyatungua makombora kadhaa ya roketi kutoka kwa wapiganaji wa kipalestina katika majuma ya hivi karibuni.
Mpango huo wa fedha hatahivyo ni sharti upitishwe na bunge la wawakilishi na kutiwa sahihi na rais Obama.
Waandishi wanasema kuwa wabunge wa Marekani wamekuwa wakiunga mkono Israel hivyobasi mswada huo huenda usikabiliwe na vikwazo vyovyote.
News
Nyumbani
ENG | KIS © Tigo
My take: wale watanzania wahafdhina wanaojidanganya kuwa marekani imeisusa Israel mpate somo