MAREKANI KUENDELEA NA MPANGO WA UDUKUZI
'Bunge la wawakilishi Marekani limepiga kura kuidhinisha mpango wa ujasusi wa elektroniki uliofichuliwa hivi karibuni na jasusi mtoro, wa idara ya ujasusi, nchini humo Edward Snowden.
Bunge lilipinga marekebisho yoyote kufanyiwa mswada huo kwani yangepunguza uwezo wa shirika la kitaifa la ujasusi, kudukua mawasiliano ya simu ya mamilioni wa raia wa Marekani.
Ikulu ya Marekani inadai kwamba itayazuia mashirika ya kijasusi chombo muhimu katika kuzuia mashambulio ya kigaidi.'
source; BBC