Marekani inavyotapatapa katika kifo chake

Mataifa yote hayapo sawa kaka, mbona liko wazi
Kuanguka kwa tajiri na kuanguka kwa masikini si sawa kabisa

Kasome historia ya kuanguka kwa falme kubwa na falme ndongo ndogo kwana
Unajichosha bure kutoa ufafanuzi
 
Dalili zako ni zipi kwani hilo jambo hutokea sana.
Miaka michache iliyopita serikali ya Afghanistan iliyofadhiliwa na Marekani ilianguka katika kipindi cha wiki moja na nusu tu.Kizuri zaidi ni kuwa hata huyo mfadhili mwenyewe iakabidi akimbie awache vitu nyeti nyuma.
We jamaa ufuasi wa mila na desturi za waarabu umeku athiri sana
 
Hakuna kitakacho dumu milele kama Roman empire ilianguka basi pia US pia mwisho wake upo but...

Nakuhakikishia utakufa wewe na wajukuu wako na supapawa atakua ni US bado
Mbona usupapawa wa marekani ushapotea... alikua supapawa 1990-2000s hapo,baada ya hapo urusi akatia timu syria,mambo yakashindikana,mara houthi wakashambulia saudia inayolindwa na vifaa vya marekani, wakaingia nao vitani,wakashindwa,mara brics
 
Endeleeni kujitia moyo hivyohivyo.
your minds are your comfort zones
 
Endeleeni kujitia moyo hivyohivyo.
your minds are your comfort zones
Hivi marekani ya 1991 &2003 dhidi ya saddam utailinganisha na hii!?..wamewakimbia taleban,kila mtu siku hizi anamvimbia marekani, india kamwambia acha ufala,futa la urusi tutalinunua
 
Si ndio kuchanganyikiwa huko.Unamchagulia mtu kitu cha lazima katika maisha pa kupata kitu hicho kwa bei ghali awache cha bei nafuu
 
kwa hiyo super power ni nani labda tukusikilize??
 
Mkuu ushawahi kuona mtu anakata kiuno huku analia? Ndio huu uzi

Mahaba yq dini ynakufanya ulie huku ngoma inalia na unaicheza kweli
 
Tatizo natoa ufafanuzi kwa mtu ambae hataki kuelewa logic na cause and effects, let alone international relations
USA ishapoteza kuwa super power tangu miaka ya 2010.
Kuanzia 2010 kushuka chini USA ndio alikua super power.
Sasa hivi dunia imeleta watu walio balance power kisiasa,kijeshi na kiuchumi.
USA ya kuanzia 2011 hadi sasa haina geopolitical wala geoeconomics influence tena.
Amebakiza tu nguvu ya hela yake dollar, na soon watu wanaenda kuiangamiza hiyo dollar kuwa medium of exchange.
Kwasasa naweza sema geoeconomically and geopolitically China ndio real super power.
Kijeshi Urusi ndio real super power.
Dunia imeshapata balance of power muda sana.
 
USA ishapoteza kuwa super power tangu miaka ya 2010.
Kuanzia 2010 kushuka chini USA ndio alikua super power.
Sasa hivi dunia imeleta watu walio balance power kisiasa,kijeshi na kiuchumi.
USA ya kuanzia 2011 hadi sasa haina geopolitical Wala geoeconomics influence tena.
Amebakiza tu nguvu ya hela yake dollar, na soon watu wanaenda kuiangamiza hiyo dollar kuwa medium of exchange.
Kwasasa naweza sema geoeconomically and geopolitically China ndio real super power.
Kijeshi Urusi ndio real super power.
Dunia imeshapata balance of power muda sana.
Uchsmbuzi mzuri
 
Back
Top Bottom