Lukwangule
Senior Member
- May 25, 2009
- 157
- 2
Mimi nashangaa sana.nadhani aliyesoma ndiye mwenye uvivu wa kufikiri kwani maana ya utamaduni na asili husawazishwa na umiliki wa majina na umiliki wa majina si utani ukiona Smith unajua katoka wapi au hamjui maana kwa sababu majina mliyonayo hayana maana.Neville amenunuliwa?! hii ajabu kabisa! kwanini wewe unayebisha kifo cha mtu usiwe ndiwe mwenye matatizo zaidi.Nini bana watu kazi yao ni kuandika wamesomea kuandika na kuchambua si kuandika maoni ya watu yanayowapendeza mpaka yale yasiyowapendeza hasa wanapokosa busara inayowakosanisha na upofu wa ukweli wa maandishi! kapish!Mimi niliachwa hoi na mwandishi mwenzangu pale aliposema eti Ballali amezikwa katika makaburi ambako hakuna makaburi ya waafrica (wabongo) coz hakuna majina ya asili...Sasa mimi nimuulize Meena, mimi nina kakaangu anaitwa George Mark Amos kwa majina haya na ikatokea kakangu huyu kafariki na Meena akaliona kaburi lake, je atasema sio mtanzania au mwafrika simply majina yake hayana asili ya Tanzania! HUU NI UVIVU WA KUFIKRI ULIOSABABISHA MWANDISHI AKASHINDWA KUISHUGHULISHA AKILI YAKE.