Marekani ina kibarua kigumu Syria

Marekani ina kibarua kigumu Syria

Status
Not open for further replies.

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
141009021300_kobane_turkish_soldiers_512x288_ap_nocredit.jpg

Wanajeshi wa muungano kutoka mataifa washirika wanakabiliana na wapiganaji wa IS Syria

Wizara ya ulinzi ya Marekani imesema inafanya kila iwezalo kuzuia wapiganaji wa ISIL kuudhibiti mji wa Syria Kobane.

Lakini mwenyekiti wa wakuu wa jeshi la pamoja, Jenerali Martin Dempsey, amesema wanamgambo hao wamekuwa wakijifunza jinsi ya kukwepa makombora ya angani.

Jeshi la Marekani linasema linaamini Wakurdi bado wanadhibiti sehemu kubwa za mji huo licha ya kushambuliwa pakubwa hapo jana.

Ufaransa imeunga mkono pendekezo la Uturuki kuunda eneo litakalodhibitiwa kiusalama katika mpaka wake na Syria ili kujilinda na pia kuwasaidia wakimbizi wa Syria.

Jenerali mstaafu Wesley Clark awali aliyehudumu kama kamanda wa juu wa jumuiya ya kujihami

NATO kwa Ulaya, amesema ana imani kwamba operesheni dhidi ya IS hatimaye itafaulu.

Chanzo:
BBC

http://www.bbc.co.uk/…/habari/2014/10/141009_marekani_kobane
 
MziziMkavu

Kwani marekani na syria wapi na wapi? marekani ataingiaje kwenye nchi ya watu eti kuwadhibiti waasi ambao hawapo kwake. Awaambie ma mbumbumbu wengine huko wasio jua. Marekani ndiye mwenye ISIS.
Anawapiga watu kiini macho tu.
 
Last edited by a moderator:
Wanaharibu miundo mbinu ili pindi wakimtoa asad,waweke kibaraka wao kisha makampuni yao ndo yatapewa kandarasi za kujenga upya miundombinu.
jamaa wanawaza mbali sana.
 
mshauri wa 'umoja' wa kumuondoa Assad...anasema ...njia pekee kwa sasa kuituliza Syria ni kutumia njia ya kijeshi baada ya hapo masuala ya kisiasa yatafuata. Nilishangaa kweli kweli.....!
 
MziziMkavu

Kwani marekani na syria wapi na wapi? marekani ataingiaje kwenye nchi ya watu eti kuwadhibiti waasi ambao hawapo kwake. Awaambie ma mbumbumbu wengine huko wasio jua. Marekani ndiye mwenye ISIS.
Anawapiga watu kiini macho tu.

Sasa kama Marekani ndiye mwenye ISIS kazi ngumu inatoka wapi?

You are contradiction yourself.
 
Last edited by a moderator:
Sasa kama Marekani ndiye mwenye ISIS kazi ngumu inatoka wapi?

You are contradiction yourself.

nuclear technology classified info bado wajanja wa us wanaziweka wazi befor law itakuwa isis,marekani angekuwa isis asingeongoza kampein,na pia asingeshirksha mataifa mengi kwa maana siri zingevuja,kiumbe yeyote anayeeneza ideology kwa beheadn fellow human wanastahili beautifu death,i wish nipewe rungu la kuwadhibiti hawa viumbe empty headed
 
Wanaharibu miundo mbinu ili pindi wakimtoa asad,waweke kibaraka wao kisha makampuni yao ndo yatapewa kandarasi za kujenga upya miundombinu.
jamaa wanawaza mbali sana.
Na nyie askari wa Allah kwanini msiwaze mbali? Inaonekana wafuasi wa Mtume Paulo wamewazidi akili. Huu ni msiba. Hivi nyie, mtaendeshwa na kutawalia na wafuasi wa Mtume Paulo mpaka lini?

Hakika Paulo ni kiboko ya Uislam wote mpaka karne zijazo.
 
Wanaharibu miundo mbinu ili pindi wakimtoa asad,waweke kibaraka wao kisha makampuni yao ndo yatapewa kandarasi za kujenga upya miundombinu.
jamaa wanawaza mbali sana.

Yes, na kuna ile project ya bomba la mafuta kwenda Israel lazima lipitie syria.
 
Na nyie askari wa Allah kwanini msiwaze mbali? Inaonekana wafuasi wa Mtume Paulo wamewazidi akili. Huu ni msiba. Hivi nyie, mtaendeshwa na kutawalia na wafuasi wa Mtume Paulo mpaka lini?

Hakika Paulo ni kiboko ya Uislam wote mpaka karne zijazo.

Mkuu, mbona unapenda sana mambo ya udini? huoni humu hata wakristu wanaitetea syria? hapa tunaongea facts na unyama wa marekani. Naomba sana husiingize mambo ya imani za kidini mkuu.
 
Sasa kama Marekani ndiye mwenye ISIS kazi ngumu inatoka wapi?

You are contradiction yourself.

Hapo kwenye nyekundu nafikiri ulitaka kusema you are contradicting yourself. Ok, lakini nimekuelewa. Kwani mimi ndo nimesema marekani ana kazi ngumu? aliyesema hivyo mi ndo nimemjibu marekani ni ISIS mkuu.
 
kwa mini vijana hasa msiojitambua wa Mudy mnaichukia marekani? mbona Saudi Arabia wanaotimia ufahamu wao wapo bega kwa bega na Marekani?
 
hahahaha!.mkuu unamfundisha Kiranga kizungu?!.shauri zako,ngoja akurudie na ma-synonyms.lol

Hapana mkuu, humu JF cha muhimu ni kuelewa mtu ana maanisha nini. Lugha si ishu sana. Mi mwenyewe nimesoma masomo ya sayansi. kiingereza kizuri sikijui. Mi nimemwambia hivyo lakini tayari nilishajua alikuwa ana maanisha nini.
 
kwa mini vijana hasa msiojitambua wa Mudy mnaichukia marekani? mbona Saudi Arabia wanaotimia ufahamu wao wapo bega kwa bega na Marekani?

Duh, mkuu sijakupata vizuri vijana wasiojitambua? kivipi? Labda nikwambie China iliweza kushindana na america kwa kuwahamasisha raia wake kuwa wanaweza kuifikia na kuipita america iwapo watatumia resource zao na kujifunza na kujitengenezea vitu vyao. Hapa siyo kwamba tunapinga marekani. Tunajaribu kuweka wazi maovu yake.
 
Hapo kwenye nyekundu nafikiri ulitaka kusema you are contradicting yourself. Ok, lakini nimekuelewa. Kwani mimi ndo nimesema marekani ana kazi ngumu? aliyesema hivyo mi ndo nimemjibu marekani ni ISIS mkuu.

twi twi twi your contradiction yourself

hii lugha mi siipendagi,niliwahigi kujing'ata ulimi.
 
Wanaharibu miundo mbinu ili pindi wakimtoa asad,waweke kibaraka wao kisha makampuni yao ndo yatapewa kandarasi za kujenga upya miundombinu.
jamaa wanawaza mbali sana.

Mkuu sjaelewa Syria kuna miundombinu gan mikubwa yenye gharama nyng adi Marekan na washrika wake waamue kuibomoa na kuweka vbaraka wao kuijenga na istoshe ukiangalia gharama wanazoingia kurusha ndege,mabomu wanayotumia,meli wanazotumia tayari hzo gharama za miundombinu ya Syria hazfui dafu labda kama kuna sababu nyngne.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom