Marekani ikitengeneza makombora sisi pia tutatengeneza' aonya rais Putin

Me nadhan hata existing system bado ni threat mfano Bomu Nuclear (RS-28) A.K.A SATAN jina la NATO,bomb ambalo hata uwezi kuli intercept lenye uwezo wa kufuta inchi yenye Suze ya Ufaransa au Jimbo la Texas ..Range km 10,000 bado hata nikiangalia iz hypersonic missle walizo zizindua mwaka huu bado Marekani ipo nyuma ..nadhan Urusi ni ichi ya kuiogopa
 
Na hakuna bom linalomnyima usingizi Marekani na vibaraka wake NATO Kama hypersonic bom...
Kina teknolojia ya Hali ya juu....
 
Kwa Kifupi Vita Ya Nukes Haina MSHINDI. Na Hata Kuwa Na Masilaha Mengi Ya Nuclear Kwa Wakati Huu Ni USELESS. Jiulize Why CHINA Ana Warheads Zisizozidi 400 Ingawa Sources Nyingine Zinasema Ni Kati Ya 260-300. Sio Kwamba Angeshindwa Kuwafikia Urusi Au US Ila Sababu It's Useless. Utalazimika Kuspend Fedha Na Resources Nyingi Sana Kuzi Maintain Hizo Silaha Lundo Wakati Huzitumii, Na Automatically Uchumi Utapungua Kasi Ya Ukuaji.

Kilichofanya USA Na Russia (USSR). Kuwa Nazo Nyingi Ni Kwa Sababu Ya Cold War. Na Kutokana Na Uhafifu Wa Kiteknolojia Kuliko Sasa Na Kila Pande Ilitaka Kujihami Dhidi Ya Mwenzie Iliwalazimu Kila Mmoja Atengeneze Mengi Ili Tu Mwenzake Asimpiku Na Ajione Yupo Salama. Ila Kwa Sasa Ni Useless Sababu Hata Ukiwa Na Warheads Zaidi Ya 10000 Na Menzio Ana 300 Tu Bado Ana Uwezo Wa Kugeuza Nchi Yako Yote Ikawa MAJIVU!
 
Naweza kusema Nukes ni

ni muhimu zimeweza kuzuiya Dunia isiingie kwenye Vita ya tatu tangu WWII kwa fear 'Mutual Assured Destruction' ukiwa na nukes lazima utaogopa kuingia vita na ichi yenye Nukes,,sasa kinachotokea sasa iv ichi zinajitoa kwenye mikataba muhimu ..kitu kina kinachosabisha Armed Race..kuna baadhi ya ichi wameanza kutengeneza 'Tactical Nuclear warheads' ambazo zinaweza kubebwa kwenye fighter jet
 
Na hakuna bom linalomnyima usingizi Marekani na vibaraka wake NATO Kama hypersonic bom...
Kina teknolojia ya Hali ya juu....
Wamesema lini kuwa wamestuka. Kwanza hizo sijui Hypersonic Projectiles ni "Myths" tu bado zipo under process na hata US wanaendeleza hiyo technology lkn kimya kimya.

Hakuna nchi yenye "Fully Fledged Technology for Hypersonic" japo kwa sasa. Hii yote inayosemwa sasa ni tambo tu, hamna lolote.
 
Wengine tuwe wasomaji tu
 
Marekani wana ujanja sana,sijui gorbachev walimuhonga ili kuweka hiyo treaty,
walijizuia kutengeza makombora ya masafa ya kati,yaani km 500-5000,ya kufyatuliwa toka nchi kavu,na sio majini yaani ,lengo la marekani vikosi vyake vilivyoko ulaya viwe salama,kwani intermidiate missile haiwezi vyatuliwa toka Russia ikafika marekani,
wakaruhusu makombora hayo yafyatuliwe toka katika manowari,wakijua kabisa kuwa ili mrusi amfyatulie marekani hayo makombora inambidi afunge safari kukatiza pacific ili kuikaribia marekani afyatue kitu ambacho marekani atakutwa kajiandaa,
wao marekani advantage yake manowari zake ziko karibu na russia,bahrain,mediterrania,Guam,diego garcia etc,

hata haya makombora ya Tomahwak ni ya masafa ya kati,na ndo marekani huyafyatua kutoka katika meli zake na kupiga iraq,syria.
Advantage ya makombora haya dhidi ya yale ya intecontinental ni kuwa ICBM inachukua dakika 10 kutua marekani baada ya kufyatuliwa toka moscow,
wakati ya masafa mafupi linaweza kutumia sekunde kadhaa toka lifyatuliwe hadi litue ulaya,
kwahiyo mda wa kurespond kujilinda unakuwa mdogo sana
 
Wamesema lini kuwa wamestuka. Kwanza hizo sijui Hypersonic Projectiles ni "Myths" tu bado zipo under process na hata US wanaendeleza hiyo technology lkn kimya kimya.

Hakuna nchi yenye "Fully Fledged Technology for Hypersonic" japo kwa sasa. Hii yote inayosemwa sasa ni tambo tu, hamna lolote.
Urusi wapo mbele kwa hii tecnology ..walizindua hapa Juzi..Hypersonic Missle aina ya 'Zicron' inalushwa kwa ikiwa imebebwa kwenye Ndege aina ya Mig-31 ..pia inaweza kuwa Lunched kwenye meli ya Kivita..huwezi kuli intercept kwa existing texnology .sababu ya Speed yake,hata wachina wapo kwenye development ..kwa upande wa Marekani bado hipo nyuma..kwenye hii tech labda yutegemee..mwanzon mwa 2020 itakuwa Deployed kwa sasa Urusi hana mpinzani
 
Minahesabu sikutu alizopewa kijeba na Pompeo, nione zikiisha what's gonna happen.
 
bomb ambalo hata uwezi kuli intercept lenye uwezo wa kufuta inchi yenye Suze ya Ufaransa au Jimbo la Texas
Hakuna Bomu Linaloweza Kufuta Nchi Size Ya Ufaransa, HAKUNA. Hata Lile Bomu Kubwa Kuwahi Kutengenezwa Na Kufanyiwa Majaribio La TSAR BOMBA Halina Uwezo Huo.

Ufaransa Nzima Ina Square Kilometers Zaidi Ya Laki Tano, Ili Ufaransa Nzima Ifutike, Labda Iangukiwe Na Sayari Ndogo (Asteroid).
 
Urusi wapo mbele kwa hii tecnology ..walizindua hapa Juzi..Hypersonic Missle aina ya 'Zicron' inalushwa kwa ikiwa imebebwa kwenye Ndege aina ya Mig-31 ..pia inaweza kuwa Lunched kwenye meli ya Kivita..huwezi kuli intercept kwa existing texnology .sababu ya Speed yake,hata wachina wapo kwenye development ..kwa upande wa Marekani bado hipo nyuma..kwenye hii tech labda yutegemee..mwanzon mwa 2020 itakuwa Deployed kwa sasa Urusi hana mpinzani
Hii technology bado ipo kwenye majaribio haijawa fully accomplished to be applied as a potential deterrent to any threat. Sema tu warusi siku hizi weko mbele sana kwa kuitangazia dunia any technological advancement or innovation wanayoanzisha.
 
Hakuna Bomu Linaloweza Kufuta Nchi Size Ya Ufaransa, HAKUNA. Hata Lile Bomu Kubwa Kuwahi Kutengenezwa Na Kufanyiwa Majaribio La TSAR BOMBA Halina Uwezo Huo.

Ufaransa Nzima Ina Square Kilometers Zaidi Ya Laki Tano, Ili Ufaransa Nzima Ifutike, Labda Iangukiwe Na Sayari Ndogo (Asteroid).
Hawakumaanisha kwamba inaweweza kufuta ichi nzima bali inaweza kuhasili sehemu kubwa mji kama city at one time..huwezo wa haya Mabomu..wanayapima kwa kuangalia 'Brust Radius' yana uwezo kuaathili eneo lenye Radius ya Duara la Mile zaidi 200 ..Mfano RS -28 Samrat (Satan2) Inabeba 'Multple Independent reentry Vehicle (MARVS) 15 kila Reentry Ina uwezo wa 750 kilotons ya TNT in kama Mara 50 ya Bomb la Nyuklia lililo dondoswa 'Nagasaki' 15 kilotons kwa iyo lina jumla ya 11,000 Kilotons ya TNT..kila rentry ina uwezo wa ku attack independently kwa hypersonic speed..inaweza isifute ichi nzima kama unavyosema lakini kutakuwa na athari kubwa sana kama itatua kwenye maeneo ya Watu
 
Back
Top Bottom