MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,438
- 69,176
Marekani na Israel wamevamia Iran wakitegemea kumaliza oparesheni ndani ya siku 4 tu, lakini sasa siku 18 zimefika huku vita ikionesha dalili za kukolea kuliko kuisha. Iran wamepigwa, lakini wamemsababishia Marekani hasara kubwa kiusalama na kiuchumi ambapo CNN wanasema Marekani anatumia zaidi ya Dola za Kimarekani Milioni 890 kwa siku moja.
Katika hali hii Rais Trump ameomba msaada kwa washirika wake wa NATO ili kutuma majeshi kushinikiza Iran ifungue mfereji wa Hormuz. Mataifa ya Ulaya yamegoma na kumjibu waziwazi kwamba vita siyo yao na hawatajiingiza kabisa:
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani, Boris Pistorius amesema hivi "It is not our war. We did not start it"
Waziri Mkuu wa Ujerumani, Friedrich Merz amesema "NATO is defensive alliance, not an intervention alliance"
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer amesema "UK will not be drawn into a wider war"
JARIDA KUBWA KABISA DUNIANI, THE FINANCIAL TIMES linasema hivi: