Marekani anaitafuta nini Venezuela?

Marekani anaitafuta nini Venezuela?

Alibino

Senior Member
Joined
Jul 1, 2016
Posts
150
Reaction score
334
Ndugu Wana jamii nawasalimu wote kwa pamoja....!!

Hivi Wana jamii huyu Marekani anawatafuta nini wa Venezuela? Anajua anachokoza moto usiozimika kirahusi au ndo kujitoa ufahamu tu?

Kwanza alimletea chokochoko mchina uzuri wake wachina huwa wanacheka na kima wakamkaushia, akatoka hapo akaleta chokochoko zisizo na maana kwa muhindi. Uzuri kanjibhai huwa tunamjua sometimes mbele sometimes nyuma.

Sasa kwenda mbali analeta choko choko kwa bepari la unga ivi anajua anachokifanya au baadae ndo tuanze na hashtag za pray for America?

Venezuela sio mtu mzuri kwenye uwanda wa vita maana mbali na kupiga kwa silaha nzito nzito bado atakushushia madawa ya kulevya kama mvua
 
Marekani dawa yao ndiyo hiyo ni kuwaingizia Matani ya mamia ya madawa ya kulevya mwanzo mwisho
 
Ndugu Wana jamii nawasalimu wote kwa pamoja....!!

Hivi Wana jamii huyu Marekani anawatafuta nini wa Venezuela? Anajua anachokoza moto usiozimika kirahusi au ndo kujitoa ufahamu tu?

Kwanza alimletea chokochoko mchina uzuri wake wachina huwa wanacheka na kima wakamkaushia, akatoka hapo akaleta chokochoko zisizo na maana kwa muhindi. Uzuri kanjibhai huwa tunamjua sometimes mbele sometimes nyuma.

Sasa kwenda mbali analeta choko choko kwa bepari la unga ivi anajua anachokifanya au baadae ndo tuanze na hashtag za pray for America?

Venezuela sio mtu mzuri kwenye uwanda wa vita maana mbali na kupiga kwa silaha nzito nzito bado atakushushia madawa ya kulevya kama mvua
Mafuta
 
Upo serious?
 
Back
Top Bottom