UmechelewaWanidukue na mimi
Wanidukue na mimi
Watu wameanza kutafufa sababu... Hali ngumu...... Mazingira yakutengeneza umandonga, nikishinda kama nimeshinda, nikipigwa kama nimeshindaKwa mara nyingine Marekani imekamatwa ikidukua Nchi rafiki na viongozi wa nchi hizo
Uvujaji wa Siri siku za hivi karibuni umefichua umbali ambao Marekani imeenda kupata taarifa hadi milangoni mwa maadui na marafiki.
UAE
Imejikuta taarifa zake kuhusu kujitenga na US, UK zikianikwa hadharani
South Korea
Taarifa zinadai kuwa mazungumzo kati ya Rais na washauri wake walikuwa hawaelewani
Israel
Taarifa zinadai kuwa Mossad na MoD walishauriana kuandaa maandamano ili kupinga Mswada wa Sheria ambao ungeipa Serikali nguvu juu ya Mahakama
Egypt
Taarifa zinadai Egypt kwa Kisiri alikubali kutengeneza makombora 40,000 na kuyatuma Russia kisiri
Russia
Taarifa zinadai kuwa Marekani ina watu ndani ya Wagner na MoD ya Russia hivyo inakuwa rahisi kwa Marekani kujua kila sehemu Wagner waendapo ndo maana wamekuwa wakitoa taarifa na mashambulizi kufanyika, itakumbukwa mara kadhaa Mkuu wa Wagner amekoswa koswa na mashambulizi.
Kushindwa kwa jeshi la Russia pale Vuhledar ni kidhihirisho kuwa Marekani alijua kabla na kuwapa taarifa Ukraine
Ukraine
Maongezi kati ya Rais wa Ukraine na MoD na viongozi wengine yamevuja, hii yaonesha Marekani inawafatilia Ukraine ili kujua kila kinachoendelea ndani ya ikulu hiyo
Serikali zote zimekana kuhusu hayo
Pentagon yadai kuwa kuvuja kwa siri hizo kutahatarisha usalama kwa waliokuwa wakitoa taarifa kwenda Marekani.
Ukraine yabadilisha mbinu za mashambulizi.
Lol,Wanidukue na mimi
Wagner group ni mercenary sote tunafahamu,, na kawaida ya mercenary anaweza akatoka Brooklyn New York au Mburahati kwa jongo,, so sio kitu cha ajabu kwa wagner kuwa na raia wa marekani, kwani si wamarekani wote wanaokubali kinachofanywa na serikali yao alafu pia wapo kazini,, na hiyo vita haipiganwi marekani... kwa hiyo hapo hakuna cha ajabu wala siri,, na suala la Wagner kujua wapo wapi hii vita sio ya kuviziana kiasi kwamba usijue mwenzio alipo mpaka mtu atoe siri,, hii vita hata mie Nyonzo bin mvule japo nipo tandale kwa mkunduge lakini najua Wagner wapo bakhmut,,,, ninachokiona mimi hapa ni huyu mmarekani anajaribu kutuzuga kwa kufuta aibu ya juzi kudukuliwa taarifa zake.Taarifa zinadai kuwa Marekani ina watu ndani ya Wagner na MoD ya Russia hivyo inakuwa rahisi kwa Marekani kujua kila sehemu Wagner waendapo ndo maana wamekuwa
Fita ni fifa mraaIntelligence haina siasa wala urafiki...
Hili halikwepeki hao watoa Siri imekula kwao.....Wasaliti hawachekewi.Pentagon yadai kuwa kuvuja kwa siri hizo kutahatarisha usalama kwa waliokuwa wakitoa taarifa kwenda Marekani.
Kwa mara nyingine Marekani imekamatwa ikidukua Nchi rafiki na viongozi wa nchi hizo
Uvujaji wa Siri siku za hivi karibuni umefichua umbali ambao Marekani imeenda kupata taarifa hadi milangoni mwa maadui na marafiki.
UAE
Imejikuta taarifa zake kuhusu kujitenga na US, UK zikianikwa hadharani
South Korea
Taarifa zinadai kuwa mazungumzo kati ya Rais na washauri wake walikuwa hawaelewani
Israel
Taarifa zinadai kuwa Mossad na MoD walishauriana kuandaa maandamano ili kupinga Mswada wa Sheria ambao ungeipa Serikali nguvu juu ya Mahakama
Egypt
Taarifa zinadai Egypt kwa Kisiri alikubali kutengeneza makombora 40,000 na kuyatuma Russia kisiri
Russia
Taarifa zinadai kuwa Marekani ina watu ndani ya Wagner na MoD ya Russia hivyo inakuwa rahisi kwa Marekani kujua kila sehemu Wagner waendapo ndo maana wamekuwa wakitoa taarifa na mashambulizi kufanyika, itakumbukwa mara kadhaa Mkuu wa Wagner amekoswa koswa na mashambulizi.
Kushindwa kwa jeshi la Russia pale Vuhledar ni kidhihirisho kuwa Marekani alijua kabla na kuwapa taarifa Ukraine
Ukraine
Maongezi kati ya Rais wa Ukraine na MoD na viongozi wengine yamevuja, hii yaonesha Marekani inawafatilia Ukraine ili kujua kila kinachoendelea ndani ya ikulu hiyo
Serikali zote zimekana kuhusu hayo
Pentagon yadai kuwa kuvuja kwa siri hizo kutahatarisha usalama kwa waliokuwa wakitoa taarifa kwenda Marekani.
Ukraine yabadilisha mbinu za mashambulizi.
Maana yake operations nyingi za Pentagon zitakwama na huenda hata Counter Offense ya Ukraine ikachelewa, maana wanaweza pelekwa kwenye chekecho.Hili halikwepeki hao watoa Siri imekula kwao.....Wasaliti hawachekewi.
Aaah kwamba wale walevi watishia bastola wakiwa bar nao waanze kufanya hiviNimeipanda zaidi hiyo taarifa ya Israel ya Mossad.
Inaonesha ni kiasi gani Intelligence za wenzetu ziko after STATE ...sio Chama, Mtu wala kikundi...ni maslahi ya nchi kwanza..!!!Nimeipanda zaidi hiyo taarifa ya Israel ya Mossad.
Never......hawawezi hata kuthubutu kuwaza hili.Aaah kwamba wale walevi watishia bastola wakiwa bar nao waanze kufanya hivi
Never......hawawezi hata kuthubutu kuwaza hili.