Juzi nilipita maeneo ya kinondoni makaburini nikakutana na kundi la watu wengi mno wanaenda kuzika. Nikauliza mbona watu wengi sana ni nani aliyefariki nikatajiwa jina la marehemu na pia walisema alikuwa maarufu kinondoni nzima. Kwa wanaomfahamu naomba wanipe A B C D zake maana ule umati haukuwa wa kawaida.