brian mwakibete
Member
- Oct 30, 2015
- 35
- 5
Siku chache kabla ya kufariki aliomba akifa kwenye msiba achinjwe ngamia. Huku Mbeya.
Maana yake nini wakuu?
Maana yake nini wakuu?
kaacha feza za kununua ngamia? sio tu unaacha maagizo kwa mkeo alike wali mchafu huku hujaacha Michele, nyama, viungo,...Siku chache kabla ya kufariki aliomba akifa kwenye msiba achinjwe ngamiaHuku Mbeya.maana yake nini wakuu?
kama hakuacha ela wasichinje.
marehemu anataka kuzikwa kwa swagga hapa ndio tulipofika!
alitakiwa amnunue mapema sio awalletee shida wenzake.
ngamia kwa mwanacnhi wa kawaida atampata wapi.
mara ya mwisho niliona coco beach wanampanda kwa kulipia
au ushirikina mkuualitakiwa amnunue mapema sio awalletee shida wenzake.
ngamia kwa mwanacnhi wa kawaida atampata wapi.
mara ya mwisho niliona coco beach wanampanda kwa kulipia
Kwani ngamia ni shillingi ngapi?
marehemu anataka kuzikwa kwa swagga hapa ndio tulipofika!