Mareheme Sheikh Yahya alikuwa noma

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
997
473
Mpaka mauti yanamkumba marehemu sheikh Yahya alikuwa na jumla ya watoto 20. Chanzo ni taarifa ya habari ya saa 1 usiku chanel ten.

sasa watoto ishirini waona wengi sana?

mimi by now nnao kumi na tano
na sijafika 40

mmmh hili nalo neno,
kama sheikh aliweza kuwahudumia watoto wake nakuwapatia mahitaji yote ya msingi,
hata akiwa na watoto mia kuna shida gani!!!!!!!!!!!!

Mpaka mauti yanamkumba marehemu sheikh Yahya alikuwa na jumla ya watoto 20. Chanzo ni taarifa ya habari ya saa 1 usiku chanel ten.

Kuna ubaya gani kama unao uwezo wa kuwatunza? Mungu amesema zaeni mkaongezeke mkaijaze dunia na mkatawale ndege na wanyama. Hakuna limit ya kuwa na watoto as long as unao uwezo wa kuwatunza na kuwakuza.

majini yake yaliyokuwa yanamlinda mzee wa kaya yatakimbia ikulu sasa ili Dr wa ukweli aikute ikulu safi.

Hata km hatufurahi kifo lakini mpotoshaji km sheikh yahaya kifo chake kinafurahisha kwani ametangulia mbele ya haki na tumeokoka kwani hatapotosha na kutisha tena watz...
Ila bahati mbaya kikwete sijui itakuwaje kwani yeye ndiye alikuwa anampa ulinzi wa majini......sijui allah gani huyu alikuwa

yaani utashangaa JK ataacha mkutano huko namibia arudi kuja kugoga fatiha za mlinzi wake

Hata km hatufurahi kifo lakini mpotoshaji km sheikh yahaya kifo chake kinafurahisha kwani ametangulia mbele ya haki na tumeokoka kwani hatapotosha na kutisha tena watz...
Ila bahati mbaya kikwete sijui itakuwaje kwani yeye ndiye alikuwa anampa ulinzi wa majini......sijui allah gani huyu alikuwa

Huo ni uonevu hakuna aliyekulazimisha kumuamini au kumfuata mbona mara nyingi tu amesema vitu ambavyo si vya kweli na wote tumetambua kuwa alikuwa msanii? kwa nini umchukie yeye badala ya kuwachukia wale walioko jikoni?(Ikulu) Tena inasikitisha na inahuzunisha sana kama amekufa bila kutubu dhambi zake. Si jambo la kufurahia hilo tuombeane mwisho mwema ndugu, wenyewe tumejikagua matendo yetu? ni kweli tuko safi?

Aende akapambane na hukumu yake! Wachawi na wapiga ramli sehemu yao ni kwenye ziwa liwakalo moto! Jehanam, maandiko yalishasema

Huo ni uonevu hakuna aliyekulazimisha kumuamini au kumfuata mbona mara nyingi tu amesema vitu ambavyo si vya kweli na wote tumetambua kuwa alikuwa msanii? kwa nini umchukie yeye badala ya kuwachukia wale walioko jikoni?(Ikulu) Tena inasikitisha na inahuzunisha sana kama amekufa bila kutubu dhambi zake. Si jambo la kufurahia hilo tuombeane mwisho mwema ndugu, wenyewe tumejikagua matendo yetu? ni kweli tuko safi?

Kweli ndg yangu maneno yako yamenichoma moyoni sana, hasa hilo la kwamba amekufa bila kutubu, maana angetubu tungejua maana angeacha ujumbe wa kukana matendo yake machafu, huo ndio utaratibu wa toba. Thanx

Huo ni uonevu hakuna aliyekulazimisha kumuamini au kumfuata mbona mara nyingi tu amesema vitu ambavyo si vya kweli na wote tumetambua kuwa alikuwa msanii? kwa nini umchukie yeye badala ya kuwachukia wale walioko jikoni?(Ikulu) Tena inasikitisha na inahuzunisha sana kama amekufa bila kutubu dhambi zake. Si jambo la kufurahia hilo tuombeane mwisho mwema ndugu, wenyewe tumejikagua matendo yetu? ni kweli tuko safi?

Afadhali umeligundua hilo. Ila kama aliweka pamba za chuma sikioni mwake, damu yake i juu yake. No more.

Shekhe kafa, Mch.Mwaisapile yupo. Kwa hiyo tumaini la viongozi wetu bado lipo!!

Back
Top Bottom