mkuuu nilikuwa nasikiza redio tanzania kwenye redio yangu nikamsikia chals hilali akizungumzia hili swala alidai nanukuu kumekuwa na tetesi marefa wakagomea kuchezesha mechi za chelsea mwisho wa kunukuu
hamna kitu kama hicho..tatizo chelsea wanaonea sana marefa, kuna refa mmoja walimfanyizia mpaka akastaafu kuchezesha mpira..hawajamaa noma, sioni tofauti ya chelsea na simba...zote timu mbovu timu za majivuno timu zinajidai zinajua mpira lakini ni uozo mtupu....