March intake 2016 certificate kuingia bachelor ni ndoto 2018/2019

cavee_louie

Senior Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
173
Reaction score
68
Habari wadau. Naomba niulize kuna taarifa zinazagaa vyuoni. Kwa wale waliomaliza form 4 mwaka 2015 na kujiunga na March intake 2016 hawataruhusiwa kuingia bachelor mwaka 2018/2019 .Naomba majibu kwa anaejua
 
Habari wadau. Naomba niulize kuna taarifa zinazagaa vyuoni. Kwa wale waliomaliza form 4 mwaka 2015 na kujiunga na March intake 2016 awataruhusiwa kuingia bachelor mwaka 2018/2019 .naomba majibu kwa anaejua

Kama wamejiunga na certificate 2016/17 (mwaka wa kwanza), wamekuwa chuoni 2017/18 (mwaka wa pili) sasa najiuliza 2018/19 ambao ungekuwa ni mwaka wao wa tatu watajiunga vipi kwani wanatakiwa waw wamalize diploma (2018/19). Au siku hizi kuna diploma ya miaka miwili baada ya form4?
 
Nimejiuliza sanaa ila nahisi labda ipo kwa upande wa biashara.
Kama alikuwa na ufaulu wa kusoma diploma moja kwa moja na ni two years labda.

Lakin kutoka cheti kwenda degree!
Sijui
 
Kwa F4 ufaulu wa kusoma diploma nafikiri ni hizi technical colleges tu (DIT, Arusha, nafikiri na MUST) ambao wakikuchagua unapiga miaka 3, kwa vyuo vingi ni year 1 NTA level 4, year 2 NTA level 5 na year 3 NTA level 6 ndio upate diploma. Tofauti hawa wa technical colleges unakuwa mwanafunzi wa diploma toka siku unaingia na huku kwingine ni hatua kwa hatua.
 
Ndugu zangu hapa Tanzania Diploma ni miaka 2. Kwa ninavyo fahamu mimi, mwanafunzi aliyemaliza form 4 huanza na certificate. Kinachotokea ni kwamba vyuo hivyo ambavyo viko chini ya NACTE, hudaili wanafunzi kwa kuwaambia kuwa utaanza diploma 1-3, maana yake ni kwamba mwanafunzi huyo akimaliza mwaka wa kwanza ambao ni certificate asiondoke na badala yake aendelee mpaka amalize diploma ambayo itakuwa ni mwaka wa 3.
Kwa mujibu wa CBET mode of teaching ambayo ndio msingi wa ufundishaji wa vyuo vya NACTE, kila stage kwao ni exist kwa mfano Basic Technician Certificate (NTA Level 4) ni exit point, Technician Certificate (NTA Level 5 - Diploma yr 1) ni exit, lakini ili uwe na uwezo wa kusoma degree lazima umalizie na Ordinary Diploma (NTA Level 6 na ufaulu wa GPA 3 na zaidi). Na mtu aliyemaliza form 6 na bahati mbaya akakosa alama za kusoma degree anaanza na Diploma (NTA Level 5).
Kwa uchache ni hayo tu.
 
Maelezo yaliyojitosheleza
 
Nimewaelewa wadau wote mliotoa mawazo yenu. Maana huku wanafunzi wanasoma kwa hofu wanamaliza diploma 2 next month alafu tetezi zinasema awaingii sababu wanatakiwa wasome 3 yrs wao wamesoma 3 yrs ila tutasubili wakat wa udahili Mwezi July inakuwaje iyo inshu.
 
Kama wamejiunga na certificate 2016/17 (mwaka wa kwanza), wamekuwa chuoni 2017/18 (mwaka wa pili) sasa najiuliza 2018/19 ambao ungekuwa ni mwaka wao wa tatu watajiunga vipi kwani wanatakiwa waw wamalize diploma (2018/19). Au siku hizi kuna diploma ya miaka miwili baada ya form4?
Ipo ile ya March intake awapumziki wanaonganisha Mwezi wa kumi kuanza diploma
 
Back
Top Bottom