March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

wadau mtujuze na idadi ya majimbo yaliyobaki. naanza kuona MOSHI MZITO kwa kadri gap inavyozidi kufutika.
 
mkuu Fidel80 naiona furaha yako baada ya maumivu ya siku nzima..........
hivi central kenya na rift valey wamemaliza??
kama tayari agwambo anachukua

mama D nilikuwa naangalia kupitia SIBUKA wamekatisha naona ndiko wanako elekea sasa kutoa matokeo.
 
Last edited by a moderator:
Sisi watu wa Jubilee inabidi tuanze kuwa wapole, maana naona Raila na CORD yake wanakuja kwa kasi ya ajabu.
 
Hivi Wakenya nao huwa wanafuatilia uchaguzi wa Tz kama sisi wa Tz tunavyofuatilia wa kwao?
 
Hivi Wakenya nao huwa wanafuatilia uchaguzi wa Tz kama sisi wa Tz tunavyofuatilia wa kwao?

...small economy follows bigger economy. big economy follows interesting smaller economy. that's how it goes.
 
22:55 Percentage of votes cast: Kiyiapi 0.31%; Karua 0.33%; Dida 0.39%; Mudavadi 2.65%; Muite 0.11%; Kenneth 0.58%; Odinga 45.84%; Kenyatta 49.59%; Spoilt votes 0.95%; Valid votes 99.05%; Total votes cast 100.00%.

Ngoma ya watoto haikeshi!
 
Mkuu fafanua vizuri

10:30pm:
Uhuru Kenyatta - TNA: 3,517,629 [49.58%]
Raila Odinga - ODM: 3,252,126 [45.84%]

158 out of 291 Constituencies results
____________________________

10:20pm:
Uhuru Kenyatta - TNA: 3,474,828
Raila Odinga - ODM: 3,249,012
 
Back
Top Bottom