Omutwale
JF-Expert Member
- Feb 4, 2008
- 1,429
- 1,045
Mpinzani hawezi kukosa. Walau wa kum-Vasco-Da-Gama! i.e kumsindikiza! Mimi pia nampenda KagameMkuu,
Kwa EA hata iweje Kagame hana mpinzani.
Mpinzani hawezi kukosa. Walau wa kum-Vasco-Da-Gama! i.e kumsindikiza! Mimi pia nampenda KagameMkuu,
Kwa EA hata iweje Kagame hana mpinzani.
Mpinzani hawezi kukosa. Walau wa kum-Vasco-Da-Gama! i.e kumsindikiza! Mimi pia nampenda Kagame
01:24: With votes from 166
constituencies counted, Uhuru Kenyatta has 3, 589, 217; Raila Odinga has 3, 360, 628; Musalia Mudavadi has 267, 213; Peter Kenneth 42, 344; Mohammed Dida has 28, 498; Martha Karua 25, 165; James ole Kiyiapi has 24, 183; Paul Muite has 8, 637. Total votes cast 7, 322, 726. Rejected votes 71, 426.
Mkuu nimekupa "like" hiyo!
Nakuomba uendelee kuleta matokeo bana coz huyu bwana Kenyan katukimbia kabisa...kwa sisi tusio na access ya TV muda huu ni balaa tupu.
Homa bay pembezoni mwa ziwa victoria.sehemu ya wajaluo ngome ya odinga ndo mana gapu imepungua
Kwa gap Uhuru Kenyatta alilokuwa amempiga Raila odinga la kura million 2 sasa limepungua na kuwa laki mbili sasa naona mitambo ilikuwa inaiba kura au analogia ndo imepiga jeki??Paka asubuhi raila kashinda sasa sijui huko kitaeleweka au??
Naona Raila baadae anawahi mahakamani kuzuia matokeo. JALUO keshesoma mchezo kajua ngoma imekula kwake anaanzisha fujo kama kawaida yake.Citizen TV News ‏@CitizenTVNews 03:25AM- #IEBCOfficialTally With 180 out of 291 constituencies tallied, #Uhuru 4,027,980 #Raila 3,625,109 #Ballot2013
Mpaka sasa gap limeshafika laki 4, na kama turnout ilikuwa 70% kwa hiyo kura zilizobaki hazifiki 3M, kweli huu uchaguzi ni mchuano mkali.Kufikia saa 3:19 maeneobunge 179/291; Uhuru 4,021,941 Raila 3,595,404 zilizoharibika 76,780 zilizohesabiwa 8,006,956