Marcelo Canadi aaga Singida Black stars

Marcelo Canadi aaga Singida Black stars

carbohydates

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2026
Posts
274
Reaction score
629
Aliyekuwa mchezaji wa Singida Black Stars, Marcelo Canadi, ametangaza kumaliza muda wake wa kuitumikia klabu hiyo baada ya kufanya mazungumzo na uongozi wa timu hiyo.

Canadi amethibitisha uamuzi huo kupitia ukurasa wake wa Instagram, akieleza kuwa wakati mwingine mambo katika soka hayaendi kama inavyotarajiwa.

Aidha, amewashukuru Watanzania kwa kumpokea na kumpa nafasi ya kuwa sehemu yao, huku akieleza matumaini ya kukutana nao tena siku zijazo.

“Wakati mwingine katika soka, mambo hayaendi kama tunavyotarajia. Baada ya kufanya mazungumzo na uongozi wa klabu, nimeamua kuwa muda wangu wa kuendelea kuwa hapa umefikia tamati. Asanteni sana Watanzania kwa kunipokea! Nitawaona tena siku moja

MARCEL.png
 
Hii timu ni ya ******* ina expose jinsi gani mmliki wake alivyo
 
Back
Top Bottom