Hapana,mimi nakataa kabisa.
Hasa Dr. Dre na Lil Wayne.
Wote majiganyanza!Hivi gay ni anayegongwa tuu au na anayegonga???
Sio confirmed kwamba watajwa ni mashoga. Ila rumour has it kwamba HUENDA wakawa wanajihusisha na hako katabia korofi kutokana na vitabia flani wanavyovifanya. Kwan kuna alietegemea kuwa Michael Scofield wa Prison Break anaweza kuwa punga?uongo mtupu...
Halafu ni rahisi sana kusema flani ni shoga maana si unasema tu.
Hata mimi naweza kusema Anko Magu naye ni.......
Huhitaji ushahidi wowote ule kuweza kusema chochote kile maana mdomo ni mali yako.
Which brings me to this point;
Saying it so, doesn't make it so.
Thus, saying Young Thug is gay or Bussa Bus is gay, that, in and of itself, doesn't make them gay.