Mpaka Leo hamjapata poleni sana wakuundugu zangu wanazuoni kutokana na hali tete ya kupata pesa za field na kwa ukimya wa marais wa vyuo vikuu pamoja na TAHLISO napenda kutoa wazo ya kuwa mwezi wa kumi tukifungua vyuo vyote Tanzania tunaomba marais wajipime na wajiuzulu kabla ya nguvu ya umma haijaamua....Kweli hawa jamaa wameshindwa kuitisha hata press conference na kutuma altumatum kwa government.....NAOMBA WANAHARAKATI WA VYUO VYOTE TUSHIRIKIANE KUHAKIKISHA TUNAWATOA WATU HAWA....KATIKA HILI SITARUDI NYUMA NA NIPO TAYARI KUFA NIKISIMAMIA HILI....
Naomba mnipm ili tujue tunafanyeje na tunaorganize vp mapinduzi haya...
Wenu katika harakati za ujenzi wa taifa letu...
Mkuu supervisor akijakukukagua itakuajeMm sijaenda field wala nn napiga dil zang.na log book hainisumbui kufog akitivities wakuu.
Mkuu supervisor akijakukukagua itakuaje
Okay kama ndio hi vyo! Unasomea professional gani?Anatoa taarifa kama anakuja mkuu.kaka mbona unakuwa mgen na ud kaka.wanaweza wasije kabisa posho nao awajapewa
umefikiri ujinga na wala si busara....wanafunzi hawawezi kujiimarisha kitaaluma na kusaidia shule za kata wakati pesa zao hadi leo hawajapata...lazima haki ipiganiwe na tunaanza kuondoa madarakani viongozi hawa wajinga na wasioweza pigania haki za wanafunzi.Mi nafikiri wanafunzi watumie muda zaidi kujiimarisha kitaaluma na kusaidia shule za kata zilizokosa ama zenye upungufu wa walimu kupiga tafu.....
UMEIFANYIA NINI JAMII YAKO....NA SI JAMII YAKO IMEKUSAIDIA NINI....
Kukiri ujinga?
Sidhani kama "move" yako ya kutanguliza "pesa" mbele kama wabunge wetu wanavyodai maslahi manono badala ya kuangalia umma ulio maskini na ukihitaji ukombozi wao itafanikiwa......
Unaweza ukawa unaabudu pesa, lakini pesa na utu kinachotangulia ni utu.... kwanza niseme wewe mwenyewe hujakiri kama hizo pesa zimegoma kutolewa, inashangaza msomi kushindwa kung'amua utendaji kazi hata wa serikali yako ya wanafunzi. Je umeuliza toka serikali yako? Umepewa jibu gani? Au ndo kutaka attention tu ya kuitisha press conference na kutoa altimatum???
Kwa namna hii kuna kauli zinaweza kuwa na ukweli ndani yake..." HATUWEZI KUWA NA VIONGOZI WANYOA VIPARA"
Ndgu mtoa post nitakuunga mkono kwani akuna uzalendo wao wangejua uzalendo wasingeweza kusababisha matatizo makubwa bajeti ilikuwa ya 2013/2014 Leo tunazungumzia bajeti ya 2014/2015.Nakumbuka kabisa nikiwa na akili timamu bajeti ilikuwa billion 390 kwa mwaka wa masomo unaomalizika iweje warun deficit kama serikali haipeleki pesa hawa wawakilishi wasingekuwa kimya kiasi hicho nibora tusingesaini.wao kama wawakilishi wangeomba msaada kwa wanufaikaji na kwa mtindo huu sijaona viongozi hapa wote ni waganga njaa tu kama tahliso wapo kimya kama awajui, Nasema kama ni siasa basi wamebugi kuleta siasa hadi kwenye elimu tena ya watu wanaojitambua.