Kiukweli nimecheka!. Serikali tatu hazina maana ya marais watatu!. Rais atakuwa ni mmoja tuu, rais wa JMT. Serikali ya Tanzania Bara itaongozwa na Makamo wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu wa Tanzania Bara!. Serikali ya Zanzibar, itaongozwa na Makamo wa Pili wa Rais na Waziri Mkuu wa Zanzibar.
Naomba kuwahadhirisha hawa vitimbakwiri wapinga muungano wetu huu adhimu, uliotokana na yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, kamwe hautavunjika!, Utadumu daima dumu na sana sana utaendelea kuimarika hadi serikali moja ambao Zanzibar itakuwa ni Mkoa wenye wilaya mbili za Unguja na Pemba, rais wa Zanzibar atakuwa ndiye Mhe. Mkuu wa Mkoa!.
Pasco.
Mimi mwenyewe na shangaa kwanza itakuwa ni kisilani cha hali ya juu kweli yani nchi moja marais watatu mungu atuepushe na hili balaa.
umeona wapi nchi moja ina marais wawili??!!!!!!!Katika uwandikaji wa katiba mpya, Mategemeo yetu watanzania kupata katiba mpya ambayo itayaokuja na mfumo mpya wa muungano, ingawa katika rasimu imependekeza serikali tatu, bado rasimu hii ina mapungufu makubwa.
Kwanza nchi kuongozwa na marais watatu, naona mfumo huu sijawahi kuona ulimwenguni, na kama ipo nchi moja ambayo inaongozwa na marais watatu basi Jaji Warioba atueleze nchi gani hiyo, kwa maelezo yake katika utungaji amesema kwamba amechulia mifano ya nchi nyegine ambazo zimefanya marekebisho wa katiba zao au kuandika katiba mpya na ndio huko wameweza pia kupata muuongozo, jee suali huu utaratibu wa kuwa na marasi wanne umepatikanwa wapi ?
Mapendekezo yetu ni kwamba Serikali ya Muungano iyongozwe na Katibu Mkuu na sio raisi, ili kuweza kupewa nguvu zao Rais wa Zanzibar na Tanganyika.
Pili Mambo ya nje na uhamiaji na Uraia hivyo hivyo yangerudishwa kwa Nchi shirika za Muungano, Yaani Tanganyika na Zanzibar.
Tatu Suala la ulinzi na Bank kuu halikadhalika kurudishiwa katika washirika wa muungano kusimamiwana wao wenyewe,
Nawakilisha.
Hapana, kwa nini makamo wa kwanza atoke bara na wapili ndo awe kutoka Zanzaibar. Yaani ndo mmeshaiweka kama sheria vile lazima kama ni mwenyekiti atoke bara na makamo atoke zanzibar.Kiukweli nimecheka!. Serikali tatu hazina maana ya marais watatu!. Rais atakuwa ni mmoja tuu, rais wa JMT. Serikali ya Tanzania Bara itaongozwa na Makamo wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu wa Tanzania Bara!. Serikali ya Zanzibar, itaongozwa na Makamo wa Pili wa Rais na Waziri Mkuu wa Zanzibar.
Naomba kuwahadhirisha hawa vitimbakwiri wapinga muungano wetu huu adhimu, uliotokana na yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, kamwe hautavunjika!, Utadumu daima dumu na sana sana utaendelea kuimarika hadi serikali moja ambao Zanzibar itakuwa ni Mkoa wenye wilaya mbili za Unguja na Pemba, rais wa Zanzibar atakuwa ndiye Mhe. Mkuu wa Mkoa!.
Pasco.
mkuu mbona haushangai sasa hivi tuna nchi moja lakini kuna marais wawili,katiba mbili,nyimbo za taifa mbili,bendera mbili na kila fujo mbili!Mimi mwenyewe na shangaa kwanza itakuwa ni kisilani cha hali ya juu kweli yani nchi moja marais watatu mungu atuepushe na hili balaa.
Katika uwandikaji wa katiba mpya, Mategemeo yetu watanzania kupata katiba mpya ambayo itayaokuja na mfumo mpya wa muungano, ingawa katika rasimu imependekeza serikali tatu, bado rasimu hii ina mapungufu makubwa.
Kwanza nchi kuongozwa na marais watatu, naona mfumo huu sijawahi kuona ulimwenguni, na kama ipo nchi moja ambayo inaongozwa na marais watatu basi Jaji Warioba atueleze nchi gani hiyo, kwa maelezo yake katika utungaji amesema kwamba amechulia mifano ya nchi nyegine ambazo zimefanya marekebisho wa katiba zao au kuandika katiba mpya na ndio huko wameweza pia kupata muuongozo, jee suali huu utaratibu wa kuwa na marasi wanne umepatikanwa wapi ?
Mapendekezo yetu ni kwamba Serikali ya Muungano iyongozwe na Katibu Mkuu na sio raisi, ili kuweza kupewa nguvu zao Rais wa Zanzibar na Tanganyika.
Pili Mambo ya nje na uhamiaji na Uraia hivyo hivyo yangerudishwa kwa Nchi shirika za Muungano, Yaani Tanganyika na Zanzibar.
Tatu Suala la ulinzi na Bank kuu halikadhalika kurudishiwa katika washirika wa muungano kusimamiwana wao wenyewe,
Nawakilisha.
Kiukweli nimecheka!. Serikali tatu hazina maana ya marais watatu!. Rais atakuwa ni mmoja tuu, rais wa JMT. Serikali ya Tanzania Bara itaongozwa na Makamo wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu wa Tanzania Bara!. Serikali ya Zanzibar, itaongozwa na Makamo wa Pili wa Rais na Waziri Mkuu wa Zanzibar.
Naomba kuwahadhirisha hawa vitimbakwiri wapinga muungano wetu huu adhimu, uliotokana na yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, kamwe hautavunjika!, Utadumu daima dumu na sana sana utaendelea kuimarika hadi serikali moja ambao Zanzibar itakuwa ni Mkoa wenye wilaya mbili za Unguja na Pemba, rais wa Zanzibar atakuwa ndiye Mhe. Mkuu wa Mkoa!.
Pasco.
Hapana, kwa nini makamo wa kwanza atoke bara na wapili ndo awe kutoka Zanzaibar. Yaani ndo mmeshaiweka kama sheria vile lazima kama ni mwenyekiti atoke bara na makamo atoke zanzibar.
Sio kwamba nataka mfumo wa muungano uwepo hivyo ulivyouweleza Pasco, laa ninachokosoa ni hii tabia iliyokuwa ishajengeka mpaka kuwa kama sheria kwamba lazima bara mjipe "the best" na Zanzibar iwe the second.
Rais wa Jamhuri ana nguvu gani upande wa Zanzibar? na kama anazo nguvu za kiutendaji; sasa rais wa Zanzibar wa kazi gani? Na ili kuwepo na full authority kwa rais wa Zanzibar basi awepo na Rais wa Tanganyika mwenye full authority kwa Tanganyika. Masuala ya Muungano yashughulikiwe na Federal body itakayoundwa na hizi nchi mbili.Katika uwandikaji wa katiba mpya, Mategemeo yetu watanzania kupata katiba mpya ambayo itayaokuja na mfumo mpya wa muungano, ingawa katika rasimu imependekeza serikali tatu, bado rasimu hii ina mapungufu makubwa.
Kwanza nchi kuongozwa na marais watatu, naona mfumo huu sijawahi kuona ulimwenguni, na kama ipo nchi moja ambayo inaongozwa na marais watatu basi Jaji Warioba atueleze nchi gani hiyo, kwa maelezo yake katika utungaji amesema kwamba amechulia mifano ya nchi nyegine ambazo zimefanya marekebisho wa katiba zao au kuandika katiba mpya na ndio huko wameweza pia kupata muuongozo, jee suali huu utaratibu wa kuwa na marasi wanne umepatikanwa wapi ?
Mapendekezo yetu ni kwamba Serikali ya Muungano iyongozwe na Katibu Mkuu na sio raisi, ili kuweza kupewa nguvu zao Rais wa Zanzibar na Tanganyika.
Pili Mambo ya nje na uhamiaji na Uraia hivyo hivyo yangerudishwa kwa Nchi shirika za Muungano, Yaani Tanganyika na Zanzibar.
Tatu Suala la ulinzi na Bank kuu halikadhalika kurudishiwa katika washirika wa muungano kusimamiwana wao wenyewe,
Nawakilisha.
Mkuu Manyimbo, sio suala la kujipa, its a fact, kuna the best na the second best!.
Si umeona bunge la katiba!, huo ndio mpango mzima!, tunajifunza kwa makosa!, tumeishajifunza nsa lile kosa hivyo nafasi ya Zanzibar ndani ya muungano ni makamo wa rais, jukumu lake likiwa kuzunguka na mikasi na kumwakilisha rais!.
Pasco.
Kiukweli nimecheka!. Serikali tatu hazina maana ya marais watatu!. Rais atakuwa ni mmoja tuu, rais wa JMT. Serikali ya Tanzania Bara itaongozwa na Makamo wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu wa Tanzania Bara!. Serikali ya Zanzibar, itaongozwa na Makamo wa Pili wa Rais na Waziri Mkuu wa Zanzibar.
Naomba kuwahadhirisha hawa vitimbakwiri wapinga muungano wetu huu adhimu, uliotokana na yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, kamwe hautavunjika!, Utadumu daima dumu na sana sana utaendelea kuimarika hadi serikali moja ambao Zanzibar itakuwa ni Mkoa wenye wilaya mbili za Unguja na Pemba, rais wa
Zanzibar atakuwa ndiye Mhe. Mkuu wa Mkoa!.
Pasco.
Mshukuru Field Marshal Okelo sio unashabikia tu mapinduzi foolKama mapinduzi yamefanyika , Zanzibar haiwezi kuwa mkoa wa Tanganyika hata mfanye nini, Zanzibar ipo na itaendelea kuwepo, wale anti-Zanzibar sentiments ukiwemo wewe Pasco, tunakwambieni go to hell....f**** haters.
Kama mapinduzi yamefanyika , Zanzibar haiwezi kuwa mkoa wa Tanganyika hata mfanye nini, Zanzibar ipo na itaendelea kuwepo, wale anti-Zanzibar sentiments ukiwemo wewe Pasco, tunakwambieni go to hell....f**** haters.