shining star
Member
- Oct 22, 2010
- 28
- 56
Uzi kama huu muwe munaatachi na picha, siyo mambo ya kuuziana mbuzi kwenye gunia

am a girl miaka 25 naishi Arusha. Natafuta rafiki hapa arusha ambaye anahitaji company kama mimi...nmejifungia ndani mpaka nahisi kuwa chizi...i need to get out ther but sina mwenyeji...
Sio mtu wa starehe bt napenda kuwa happy...n am single too so guys karibuni..who knows🙂
He!....jiji lote hili la mamilionea huna kampani........?.......hebu njoo hapa. Escape 2........tunyonye sangria taratibu..........tudiskasi mswada wako huo wa kukaa ndani kama utumbo..........

mkuu uko Arusha
Dr huyu anatega mingo tu...
Raha huwa inatafutwa sio hadi utumiwe kadi ya mwaliko...
Ndio mkuu.......nipo Yaeda chini.........
Ninashanga sana Dr........sijui kwa nini mtu asijipe raha mwenyewe........btw.....w/end yako natumaini imeenda poa..........
nikija December nitakutafuta mamii