singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Kwako usawa upo kwenye magazeti ya MAWIO na Tanzania Daima pamoja na Mwanahalisi sababu wanawasifia Chadema.Hilo gazeti lenyewe ni kati ya yale ya udaku wa siasa...hakuna upembuzi wala uchunguzi humo.Siwezi poteza muda wangu nasoma Tazama..sheria ingekuwa na usawa haya magazeti ya mlengo huu ni ya kufungwa kbsaa,sema kwa kuwa limepondea upande wa upinzani....
Mwanachama mpya ndani ya CHADEMA Edward Lowassa ametishia kumfukuza diwani ama mbunge yeyote atakayeshindwa kutumikia wananchi. Swali hapa, huyu Lowassa ni nani ndani yake CHADEMA mpaka afikie hatua ya kuwatisha hivyo?CDM walivyo nunuliwa na Kikundi cha Majizi basitena
Watavurugwa kila siku
Ni kawaida yake kununua magazeti na kupiga picha ukurasa wa mbele na kuupachika JFDuh! haraka ya nn? taarifa yenyewe haijakamilika!
La hasha bwana Ritz...usawa ni kwamba magazeti yenye matoleo au makala zisizo na ukweli pamoja na zenye kupotosha..endapo zikibainika yafungiwe au kupewa adhabu stahili yote bila kujali yamesifu/kuponda CCM/UKAWA..Kwako usawa upo kwenye magazeti ya MAWIO na Tanzania Daima pamoja na Mwanahalisi sababu wanawasifia Chadema.
Kila habari against CDM Hata sehemu moja waliyobalance news hakuna, je huu sio uchochezi?Kwenye Hilo Gazeti kipi kinachojenga weledi, I think kind ya Gazeti Kama hili need to be burned for life