Marafiki wa kweli

Ama kwa hakika kweli urafiki wenu ulifana...yaani mlikuwa mnagawana mpaka papuchi...........???
 
hata kama akiwa na PHd kama ni borgus ni bogasi tu
Hamjui Maana Ya Kupenda, Na Thaman Yake, Na N Washamba Nyiee, Una Elimu Gan Kaka? Tujue Hlo Kwanza Then Utapata Majib
 
hivi hii nayo ni thread ya kuleta hapa vitu ambavyo havina mkia wala mguu mamods mnaweka jamani
inasikitisha sana tena sana, halafu mwenyewe anajisifia anaona kawin hapa kumbe anajichimbia HIV
bila kujielewa kweli borgus kabisa bureeeee
 
sasa mapenzi yanaongelewa wapi?
 
Nyie wote kule kwetu tunawaita MBUTE mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…