youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
- Thread starter
- #21
Ha Ha Haa, So Funy. Ulikua Kilaza Kweli Wewe
hahaa nilikuwa nashika nafasi ya 3 sema ndo ivo2 nilikuwa mtu wa vitoto sana.
Ha Ha Haa, So Funy. Ulikua Kilaza Kweli Wewe
kitoto kihelehele hiki duh!
Wote washenzi wa tabia.Muwahi mapema kumuona daktari wa magonjwa ya akili nyie sio wazima
hapana alinikoti ndiyo nikamjibu niliogopa
Mmh! Kwel Duniani kuna watu na viatu
Hamjui Maana Ya Kupenda, Na Thaman Yake, Na N Washamba Nyiee, Una Elimu Gan Kaka? Tujue Hlo Kwanza Then Utapata Majib
sasa nan kiatu?
sasa nan kiatu?
Ama kwa hakika kweli urafiki wenu ulifana...yaani mlikuwa mnagawana mpaka papuchi...........???
Ww na huyo rafiki yako na hao ma-dem zenu
hivi hii nayo ni thread ya kuleta hapa vitu ambavyo havina mkia wala mguu mamods mnaweka jamani
inasikitisha sana tena sana, halafu mwenyewe anajisifia anaona kawin hapa kumbe anajichimbia HIV
bila kujielewa kweli borgus kabisa bureeeee
rafiki yangu nan?
Si huyo uliyekuwa unashare naye dem Lol!!
Unajua inafikia akipindi urafiki unavuka mipaka kama hii.
Mimi nilikuwa na rafiki yangu mmoja tulizoeana sana mpaka tukawa kama ndugu, tuliaminiana sana, lakini kuna jambo moja ambalo mpaka leo huwa najiuliza sielewi ni nini kilinifanya nilikubali jambo hili.
Ni Kwamba tulikuwa tunafanya Exchange ya mademu yaani mimi nachukua demu wake naenda kupiga, au (kusex) kwa lugha yenu mliosoma na yeye anachukua demu wangu anaenda kupiga.
Sasa ninachojiuliza kati yetu sisi WANAUME na wale MADEMU ni wapi walikuwa bogus?