Marafiki wa kweli

Marafiki wa kweli

youngsharo

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,491
Reaction score
500
Unajua inafikia akipindi urafiki unavuka mipaka kama hii.

Mimi nilikuwa na rafiki yangu mmoja tulizoeana sana mpaka tukawa kama ndugu, tuliaminiana sana, lakini kuna jambo moja ambalo mpaka leo huwa najiuliza sielewi ni nini kilinifanya nilikubali jambo hili.

Ni Kwamba tulikuwa tunafanya Exchange ya mademu yaani mimi nachukua demu wake naenda kupiga, au (kusex) kwa lugha yenu mliosoma na yeye anachukua demu wangu anaenda kupiga.

Sasa ninachojiuliza kati yetu sisi WANAUME na wale MADEMU ni wapi walikuwa bogus?
 
wote mlikuwa mabogasi zero brain urafiki usio na faida!!!!!!
 
Wote washenzi wa tabia.Muwahi mapema kumuona daktari wa magonjwa ya akili nyie sio wazima
 
Kama huo ndio urafiki wa kweli 😕😕
 
mmmh!!! shukuru kama ukimwi ulikuwa haujashika kasi. maana mngekuwaje sare sare.
 
Hamjui Maana Ya Kupenda, Na Thaman Yake, Na N Washamba Nyiee, Una Elimu Gan Kaka? Tujue Hlo Kwanza Then Utapata Majib

nimeishia darasa la 4 mwalimu mkuu akasema nimezid uhuni coz nilimkazia mwanae akanifukuza shule.
 
Mmh. Wavulana Wawil Wasicha Wawil Jumla Mtu 4, Ni Mapoyoyo, Tena Mpaka Sasa
 
Back
Top Bottom